Mambo mengi ni relative katika maisha, moja wapo ni sexuality.
Huyu hakuzaliwa hivyo. What kind of sexuality one eventually acquires in adulthood boils down to a combination of genetic and environmental factors one gets to experience during childhood and adolescence life.
Kwa wengine ambao environmental influences zimepiku, inakuwa a very fine line to cross.
Siyo ajabu kuona wanaume ambao in all outward appearances wanaonekana kuwa ni straight, lakini wana homosexual tendencies and practices in their active sexual lives.