Katika dunia iliojaa viongozi wanafiki, kwanini niwe na aibu kumshabikia Netanyahu, kwanini nione haya kumsifia Trump

Katika dunia iliojaa viongozi wanafiki, kwanini niwe na aibu kumshabikia Netanyahu, kwanini nione haya kumsifia Trump

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
20260424_171538.jpg

Ofcoz mnawachukia, mnawachukia kwa maana wamedhibiti vikagarosi wenu wanaoiletea dunia tabu na mateso.

Mnawachukia kwa maana wanadaka roho za itikadi kali wenzenu.

Kwanini nimchukie mtu aliewatwanga itikadi kali waliokuwa wanavamia makanisa na kuwaua watu kama kuku?

Kwa nini nichukie mtu ambaye ndio aliebaki kuwa nguzo ya kulinda ustaarabu wa dunia?

Kwanini nichukie mtu anaepinga ushoga usiwe practiced kama kitu cha kawaida?

Ubabe wao ndio tunapata kiasi hiki cha amani tunachofurahia cha duniani, ubabe wao ndio umewaondolea viongozi wahuni na wanaoleta mikanganyiko duniani.

Sijali wataondoka na roho ngapi za hawa radicals maana hao radicals wenyewe wameshaondoka na roho za ndugu zenu wangapi?
 
Back
Top Bottom