Tumesharipoti tatizo hili kwa takribani miezi miwili sasa, lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Tumekuwa tukipiga simu mara kwa mara kukumbusha kuhusu tatizo hilo, pamoja na kufika ofisini kwa TANESCO Kigereshi, lakini hadi sasa hakuna msaada wowote uliopatikana.
Namba ya taarifa: MWZ092026TB-1228
View attachment 3690395
View attachment 3690396