Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

Ndo yule shumileta
Jini mla watu
Mtatufanya sisi wengine ambao hatupendi siasa tuanze kumtetea maana mnavuka mipaka

Mwenzenu lema yupo kimnya baada ya kudinywa kule porini halafu wahuni wakachukua picha mjongeo wakamwamvia haya sasa ole wako mtu fudenge awe mwenyekiti
 
Mbona Sio mara ya kwanza rais kupanda ndege ya raia, Mbona hata treni anapanda ya kiraia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…