Katika hali isiyo ya kawaida ameonekana akipanda ndege ya abiria kurejea kwao dharura

Mtatufanya sisi wengine ambao hatupendi siasa tuanze kumtetea maana mnavuka mipaka

Mwenzenu lema yupo kimnya baada ya kudinywa kule porini halafu wahuni wakachukua picha mjongeo wakamwamvia haya sasa ole wako mtu fudenge awe mwenyekiti
Labda ulidinywa wewe mkuu!
 
Amemaliza muda wake kikatiba kama ambavyo Magufuli alikuwa anaishia 2025 na yeye anapaswa kuishia 2025.
Kwa ulichoandika inamaana akitaka kuongoza tena kama rais bc muda wake utaishia 2035.

Ni kweli hatumtaki Huyu mama Ila em kasome tena katiba
 
Mimi hakuna mtu namwogopa huko CCM kama Rostam mwenzenu Mama Samia awe makini naye yaani naota tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…