Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

Sasa mtu kashasema yeye anaumwa na Bado unahoji..kuna mtu ambaye hajui kuumwa Kunavyokuwa..Homa TU hata kuku au wali hauonogi..je Kama maradhi
Mbona na wewe pia unahoji hoja isiyo na hoja?
 
Uchaguzi ulikuwa na msisimko sana tuendelee kusubiri nini kitatokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…