Tupunguze matarajio tu,
Ukijiweka kwenye viatu vya samia na genge la Abdul utagundua kuwa kurudi nyuma au kuweka silaha chini inamaanisha kujipeleka jela au kunyongwa, na siku zinavozidi kwenda ndipo wanazidi kuingia deep kwenye giza kiasi kwamba njia pekee ya kuwatoa ni njia ya kivita.
Njia za kidipromasia, vikwazo, kuharibu taswira ya nchi nk. Si kitu kwao, mfano nchi kama Iran, wana vikwazo kama vyote, uchumi upo chini , wametengwa , maandamano ya raia na bado wananyongwa, hakuna hata tone la demokrasia, au Sudan kwa mfano.
Na Tanzania the worst case scenario ni kuwa kama nchi hizo lakini si samia/ccm kutoka madarakani.