Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yesu alitumia hadi mate na matope kuponya ingekuwa leo mtu anafanya hivyo watu wangemshambulia hadi basiKwanza ungejiuliza hivi ni lini alitumia mafuta ya upako
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Yesu alitumia hadi mate na matope kuponya
Yesu Amponya Mtu Aliyezaliwa Kipofu
YOH 9:1-6
Yesu alipokuwa akipita, alimwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa. 2 Wanafunzi wake wakamwuliza, “Bwana, ni nani aliyet enda dhambi ya kusababisha mtu huyu azaliwe kipofu, ni yeye au wazazi wake?”
3 Yesu akawajibu, “Huyu hakuzaliwa kipofu kwa sababu yeye au wazazi wake walitenda dhambi. Jambo hili lilitokea ili nguvu za Mungu zionekane zikifanya kazi katika maisha yake. 4 Yatupasa tutende kazi yake yeye aliyenituma wakati bado ni mchana kwa maana usiku unakuja ambapo hakuna mtu awezaye kufanya kazi. 5 Wakati nipo ulimwenguni, Mimi ni nuru ya ulimwengu.”
6 Baada ya kusema haya, akatema mate kwenye udongo aka tengeneza tope kwa mate yake akampaka yule kipofu machoni. 7 Kisha akamwambia, “Nenda kanawe uso katika kijito cha Siloamu.” Neno ‘Siloamu’ maana yake ni ‘aliyetumwa.’ Yule kipofu akaenda akanawa na akarudi akiwa anaona
Huyo ni yesu mwenyewe, je hawa wanaojiita manabii ndio yesu mwenyewe, wana nguvu sawa na yesu mwenyewe? Kumbe ndio maana wanatumia hadi JIK [emoji23][emoji23][emoji23]Yesu alitumia hadi mate na matope kuponya ingekuwa leo mtu anafanya hivyo watu wangemshambulia hadi basi
Yesu Amponya Mtu Aliyezaliwa Kipofu
YOH 9:1-7
Yesu alipokuwa akipita, alimwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa. 2 Wanafunzi wake wakamwuliza, “Bwana, ni nani aliyetenda dhambi ya kusababisha mtu huyu azaliwe kipofu, ni yeye au wazazi wake?”