Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo nikapata wazo la kutengeneza web App ambayo itakuwa ikifanya management ya weeding and kitchen party events na tafrija za aina nyingine ambapo moja ya task zake itakuwa ni kuandaa budget, kutuma reminder kwa team/wanakamati na wachangiaji wengine, lakini pia kukusanya michango direct kutoka kwa kamati na wadau wengine.
Sasa nimeamua kutumia event yangu kama demo, then nikimaliza harusi nitakuwa nimepata some of useful experience ambayo itaniwezesha kuboresha zaidi project hii zaidi.
Pia kwa yeyote ambaye amewahi kupitia katika mchakato wa jinsi hii na akawa kwenye situation ambayo aliona inahitajika system ku_support ku_handle baadhi ya mambo nitapenda kupata uzoefu wake hapa.