Katika hawa mastaa nani Mwenye mvuto (Handsome)

Wakuu katika hii listi ya mastaa wa bongo fleva nnani anamvuto au muonekano mzuri. Chagua namba then mpe asilimia
Kwangu mondray ndio Mwenye muonekano mzur kuliko hao


Mi naona ni Diamond (14), Ney wa Mitego (10), Ali Kiba (15)
 
Tatizo la kufungiwa viroba ndo matatizo yake haya
 
4 yaan ni full mwanga cyo kwa tochi izooo mbili
 
hihi mleta post akili unazo ama kuna mahali umeziacha utazipitia baadae??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…