Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Bagamoyo. Kumbe nawe unayafahamu mambo haya? Aiseeeee.... Ni hatari sana unakuwa katika future. Nmekuta mabadiliko makubwa sana nliporudi. Ile speed sijawahi endeshea gari.Ulipita njia ya Bagamoyo au Kibaha? Ninavojua ya Kibaha kuna Portal pale Kwa Matihas, inafungukaga baadhi ya siku kwa watu special na ukiwa katika speed special.
Unapelekwa katika parallel universe ila sio ulimwengu huu. Dakika moja utakayo spend kwenye iyo universe ni zaidi ya masaa 12 huku. Sasa can you imagine siku 5 ulizospend huko?
Hope unavoondoka Kikwete alikua Waziri wa Mambo ya Nje.
Mkuu unaijua speed of light lakini???Ni 3x10⁸ m/s sidhani kama dunia ya sasa kinaweza kwenda kwa speed hiyoBagamoyo. Kumbe nawe unayafahamu mambo haya? Aiseeeee.... Ni hatari sana unakuwa katika future. Nmekuta mabadiliko makubwa sana nliporudi. Ile speed sijawahi endeshea gari.