Labda waliona kitambi, kwa wenge walilo nalo wakafikiri ni mimbaTyping error sio shida shida ni pale viongozi wa juu wakikanusha hakuna korona tz na hidi wengine wakidiriki kupita hospitalini na kutuambia wamekuta watu wenye mimba tu sasa sijui mzee kijazi alikuwa wapi wakati wanapita
Watu wapo bize kutafuta taarifa za wafu wapost maana naona imekuwa sifa sasa kuwa wa kwanza kupost kifo cha kigogo. Corons ipo tuchukue tahadhari sio hadi tutangaziwe na JPM
Rais kasema Tz hakuna korona wewe unasema matendo yake yanaonesha ipo bado hutaki tumlaumu.
Mkuu swali dogo tu, je wadau wanaposema serikali itangaze huwa wew unaelewa nini au malengo yao huwa ni nini?Watu wapo bize kutafuta taarifa za wafu wapost maana naona imekuwa sifa sasa kuwa wa kwanza kupost kifo cha kigogo. Corons ipo tuchukue tahadhari sio hadi tutangaziwe na JPM
We need coordinated efforts za kujikinga ili kupata matokeo yaliyo kusudiwa, inahitaji mamlaka kumfanya kila mtu azingatie taratibu zitakazo wekwa.
unataka muongozo gani.Ni kweli tunapaswa kujiongeza kama wananchi ila haiondoi ulazima wa rais na wateule wake kutoa muongozo kwa taifa. Ni jukumu lao 100%
Walewale, sijui nani huwa anawazaa viumbe kama nyieMi nawashangaa watu San..! Kam mnajidanganya kuvaa barakoa ndo unajikinga Basi US watu wasingekufa kama kuku kwa mazingira ya nchi yetu kuvaa barakoa haisadii peke yake...!
sababu tu sio ujumbe wa kukashifu.Nilipoona tu kichwa cha habari kina maneno wakushikiriwa akiri, moja kwa moja nikajua kilichoko ndani kwenye bandiko ni uchafu.
Ndio maana ya kuwa na kiongozi katika jamii si kwamba watu hawajui nini cha kufanya ila kiongozi anachofanya ni kuleta muunganiko wa maamuzi yanayohusu jamii husika.Unataka muongozo gani.
Huoni gwajima anavyohangaika kuelekeza watu namna ya kuzima dalili za covid!!!
Suala la wewe kuvaa barakoa halihutaji uje uambiwe na profesa, au mkurugenzi. ni la kwako binafsi.
alichobakiza rais ni kutangaza lockdown,ili watu waanze makelele anawaua kwa njaa.Ndio maana ya kua na kiongozi katika jamii si kwamba watu hawajui nini cha kufanya ila kiongozi anachofanya ni kuleta muunganiko wa maamuzi yanayohusu jamii husika.
Ukiwa unajisaidia chooni wakati jamii inayokuzunguka inakunya hovyo mahali popote tambuwa kuwa na wewe utakula/ kunywa/kugusana na mavi ya wenzio bila kuangalia kuwa wewe unatumia choo. Unatakiwa uwajibikaji wa pamoja. Mamlaka ziwalazimishe watu kufanya wasiyotaka kuyafanya ndiyo maana ya tamko la serekali.Hizo ndiyo akili za kushikiwa
wewe nae sio muelewa, sio kwamba hatujui kama corona ipo, tunataka Raisi aaibike kwa kuonyesha udhaifu wa kutangaza hali ya hatari. Raisi amekua kinara wa kuwatoa watu hofu, sisi tunataka awatie watu hofu, ndo tunachotaka. Sio kwamba hatujui Covid haipo.Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo.huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno.
Mfano,Mzuri ni huu: waziri Jafo alipotangaza Siku saba za kujifukiza ,nyie watanzania wa kushikiliwa akili mlifikiri tafsiri yake nini?? ok tuache hili.
Taarifa zilisambaa zikionyesha Hayati Maalim seif ameambukizwa corona,yani na hili hamkuamini kuwa Corona ipo mpaka Rais au waziri atangaze?
Akili za kushikiliwa hizi. Walipotangaza kuwa kuna dawa za Nimcaf na Covidol zinatibu mafua makali hapo akili zenu ziliwambia nini? Akili za kushikiliwa
Wasomi wengi wamejaa Tanzania. Usomi wenu umesaidia nini. hamsomi updates za Corona mpaka Rais au waziri aseme kwamba vaeni barakoa?
Nimeona Mtu kama mwenyekiti wa chama anahamasisha watanzania waorodheshe idadi ya ndungu zao waliyokufa eti hapo baadae watakuja Kumdai JPM kwa nini hakusema Corona ipo.Akili hizi za kushikiliwa hizi.
Hawaambii wanachama wake wajikinge au kufuata health standards ili wasiambukizwe. Nimemuona mtu aitwaye Hilda akihamasisha wapinzani ambao ni Tishio kwa serikali eti wakiumwa corona wasiende kutibiwa kwa hospitali za serikali.
Ningekuwa mimi ndiye Rais, nakutafuta nakutia ndani for the remaining five years maana mtu wa namna hii ni Muuaji kabisa.
Rais alichokisema ni kwamba hata lock down wananchi wake (nitajie nchi kwa sasa imelock down wananchi wake) lakini hakukataza Kuvaa barakoa, hakukataza kunawa mikono, hakataza social distancing (at least 2 Meters from one another ) etc.
Sasa mnaomtukana sijui kosa lake liko wapi? Akili zenu za kushikilwa tu. Watanzania wengi tuko kama makinda ambayo hayajajua kujitafutia chakula.
Rais ametangaza siku tatu za Maombi. Bado liko kundi la watu ambao hata kanisani au msikitini hawaendi wanamdhihaki Rais kwa hili. Hizi ni akili za kushikikiwa.
Hamsomi Biblia au Quran lakini mnachojua ni kutukana tu. Mkatoliki mwaminifu ukimpa dawa ameze anapiga sala ya msalaba kwanza ndipo anameza dawa. Sasa kama Tukimwomba Muumba wetu, tukanawa mikono,tukavaa barakoa, tukajiepusha misongamano hapo kosa la Rais wetu kumtanguliza Mungu katika yote liko wapi jamani?
Mnakataa kumuomba Mungu lakini mkifiwa mnawita Padri au sheikh au mchungaji awasalie kwa Muumba yupi?
Lakini Dunia ifahamu ya kuwa Mungu yupo. Yule aliyemtetea Eliah, aliyewatetea Shadrack na ndugu zake, aliyemponya Daniel midomoni mwa Simba ndiye atayemtetea Rais wetu na wananchi wake.Mungu hajikani. Wewe unayetukana na kuamini sayansi tu haulazimishwi kushikiliwa akili.
Sabato njema
Umeandika pumba tupu,halafu unamalizia na "sabato".Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo.huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno.

Bongo akili zetu kama panziWatu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo.huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno.