#COVID19 Katika hili la Covid-19, nimejifunza sisi Watanzania ni wakushikiliwa akili

Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo.huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno.

Mfano,Mzuri ni huu: waziri Jafo alipotangaza Siku saba za kujifukiza ,nyie watanzania wa kushikiliwa akili mlifikiri tafsiri yake nini?? ok tuache hili.

Taarifa zilisambaa zikionyesha Hayati Maalim seif ameambukizwa corona,yani na hili hamkuamini kuwa Corona ipo mpaka Rais au waziri atangaze?

Akili za kushikiliwa hizi. Walipotangaza kuwa kuna dawa za Nimcaf na Covidol zinatibu mafua makali hapo akili zenu ziliwambia nini? Akili za kushikiliwa

Wasomi wengi wamejaa Tanzania. Usomi wenu umesaidia nini. hamsomi updates za Corona mpaka Rais au waziri aseme kwamba vaeni barakoa?

Nimeona Mtu kama mwenyekiti wa chama anahamasisha watanzania waorodheshe idadi ya ndungu zao waliyokufa eti hapo baadae watakuja Kumdai JPM kwa nini hakusema Corona ipo.Akili hizi za kushikiliwa hizi.

Hawaambii wanachama wake wajikinge au kufuata health standards ili wasiambukizwe. Nimemuona mtu aitwaye Hilda akihamasisha wapinzani ambao ni Tishio kwa serikali eti wakiumwa corona wasiende kutibiwa kwa hospitali za serikali.

Ningekuwa mimi ndiye Rais, nakutafuta nakutia ndani for the remaining five years maana mtu wa namna hii ni Muuaji kabisa.

Rais alichokisema ni kwamba hata lock down wananchi wake (nitajie nchi kwa sasa imelock down wananchi wake) lakini hakukataza Kuvaa barakoa, hakukataza kunawa mikono, hakataza social distancing (at least 2 Meters from one another ) etc.

Sasa mnaomtukana sijui kosa lake liko wapi? Akili zenu za kushikilwa tu. Watanzania wengi tuko kama makinda ambayo hayajajua kujitafutia chakula.

Rais ametangaza siku tatu za Maombi. Bado liko kundi la watu ambao hata kanisani au msikitini hawaendi wanamdhihaki Rais kwa hili. Hizi ni akili za kushikikiwa.

Hamsomi Biblia au Quran lakini mnachojua ni kutukana tu. Mkatoliki mwaminifu ukimpa dawa ameze anapiga sala ya msalaba kwanza ndipo anameza dawa. Sasa kama Tukimwomba Muumba wetu, tukanawa mikono,tukavaa barakoa, tukajiepusha misongamano hapo kosa la Rais wetu kumtanguliza Mungu katika yote liko wapi jamani?

Mnakataa kumuomba Mungu lakini mkifiwa mnawita Padri au sheikh au mchungaji awasalie kwa Muumba yupi?

Lakini Dunia ifahamu ya kuwa Mungu yupo. Yule aliyemtetea Eliah, aliyewatetea Shadrack na ndugu zake, aliyemponya Daniel midomoni mwa Simba ndiye atayemtetea Rais wetu na wananchi wake.Mungu hajikani. Wewe unayetukana na kuamini sayansi tu haulazimishwi kushikiliwa akili.

Sabato njema
Mm naona km ww ndio umeshikwa akili vile afya yko ni jukumu lako namkubal sn kipanya ukiamua kuvaa ukiamua kuvua ni ww tu
 
Ni kweli tunapaswa kujiongeza kama wananchi ila haiondoi ulazima wa rais na wateule wake kutoa muongozo kwa taifa. Ni jukumu lao 100%
Ni kweli kabisa ni kama mitandao ya simu haijawahi kuacha kutangaziwa wateja wao kununua vocha pamoja na kwamba simu ni vocha anyway naona wamekubali yaishe
 
Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo.huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno.

Mfano,Mzuri ni huu: waziri Jafo alipotangaza Siku saba za kujifukiza ,nyie watanzania wa kushikiliwa akili mlifikiri tafsiri yake nini?? ok tuache hili.

Taarifa zilisambaa zikionyesha Hayati Maalim seif ameambukizwa corona,yani na hili hamkuamini kuwa Corona ipo mpaka Rais au waziri atangaze?

Akili za kushikiliwa hizi. Walipotangaza kuwa kuna dawa za Nimcaf na Covidol zinatibu mafua makali hapo akili zenu ziliwambia nini? Akili za kushikiliwa

Wasomi wengi wamejaa Tanzania. Usomi wenu umesaidia nini. hamsomi updates za Corona mpaka Rais au waziri aseme kwamba vaeni barakoa?

Nimeona Mtu kama mwenyekiti wa chama anahamasisha watanzania waorodheshe idadi ya ndungu zao waliyokufa eti hapo baadae watakuja Kumdai JPM kwa nini hakusema Corona ipo.Akili hizi za kushikiliwa hizi.

Hawaambii wanachama wake wajikinge au kufuata health standards ili wasiambukizwe. Nimemuona mtu aitwaye Hilda akihamasisha wapinzani ambao ni Tishio kwa serikali eti wakiumwa corona wasiende kutibiwa kwa hospitali za serikali.

Ningekuwa mimi ndiye Rais, nakutafuta nakutia ndani for the remaining five years maana mtu wa namna hii ni Muuaji kabisa.

Rais alichokisema ni kwamba hata lock down wananchi wake (nitajie nchi kwa sasa imelock down wananchi wake) lakini hakukataza Kuvaa barakoa, hakukataza kunawa mikono, hakataza social distancing (at least 2 Meters from one another ) etc.

Sasa mnaomtukana sijui kosa lake liko wapi? Akili zenu za kushikilwa tu. Watanzania wengi tuko kama makinda ambayo hayajajua kujitafutia chakula.

Rais ametangaza siku tatu za Maombi. Bado liko kundi la watu ambao hata kanisani au msikitini hawaendi wanamdhihaki Rais kwa hili. Hizi ni akili za kushikikiwa.

Hamsomi Biblia au Quran lakini mnachojua ni kutukana tu. Mkatoliki mwaminifu ukimpa dawa ameze anapiga sala ya msalaba kwanza ndipo anameza dawa. Sasa kama Tukimwomba Muumba wetu, tukanawa mikono,tukavaa barakoa, tukajiepusha misongamano hapo kosa la Rais wetu kumtanguliza Mungu katika yote liko wapi jamani?

Mnakataa kumuomba Mungu lakini mkifiwa mnawita Padri au sheikh au mchungaji awasalie kwa Muumba yupi?

Lakini Dunia ifahamu ya kuwa Mungu yupo. Yule aliyemtetea Eliah, aliyewatetea Shadrack na ndugu zake, aliyemponya Daniel midomoni mwa Simba ndiye atayemtetea Rais wetu na wananchi wake.Mungu hajikani. Wewe unayetukana na kuamini sayansi tu haulazimishwi kushikiliwa akili.

Sabato njema
Mbona rais wako anatembea na mabodigadi nyuma, mbele, kulia na kushoto? Si amtegemee huyo "mungu" wake wa korona?
 
Back
Top Bottom