#COVID19 Katika hili la Covid-19, nimejifunza sisi Watanzania ni wakushikiliwa akili

Mm naona km ww ndio umeshikwa akili vile afya yko ni jukumu lako namkubal sn kipanya ukiamua kuvaa ukiamua kuvua ni ww tu
 
Ni kweli tunapaswa kujiongeza kama wananchi ila haiondoi ulazima wa rais na wateule wake kutoa muongozo kwa taifa. Ni jukumu lao 100%
Ni kweli kabisa ni kama mitandao ya simu haijawahi kuacha kutangaziwa wateja wao kununua vocha pamoja na kwamba simu ni vocha anyway naona wamekubali yaishe
 
Mbona rais wako anatembea na mabodigadi nyuma, mbele, kulia na kushoto? Si amtegemee huyo "mungu" wake wa korona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…