The Night Walker19
Member
- Aug 19, 2020
- 66
- 55
Kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa issue ya mabadiliko sio ya kukurupuka bali kuna process nyingi inabidi zifanyike ndo mzigo uwekwe.....sio kingwambalungwambalu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahoji hizo Bill 20 Anza kwanza kutuambià wewe umeichangia Sh ngapi Simba.
Sisi mashabiki wa Simba na Wanachama tumeridhika na uendeshaji wa timu ulivyo hivi sasa Maendeleo ya timu yanaonekana na ndio furaha yetu sisi Mashabiki.
Kama umemsikiliza kwa makini hizo bilioni tatu anazitoa kwa mapenzi yake na simba kama mshabiki mwenye uwezo wa kufanya hivyo na ni nje kabisa ya 20 billions.....tafuta maana ya neno ruzuku itakusaidia sanaUnazungumziaje suala la kusubiri mchakato ukamilike ikiwa ni miaka mitatu sasa tangu MO awepo pale.
Kila mwaka yeye anatoa ruzuku ya Bilioni 3. Je Tutazidai vipi hizo bilioni 20, baada ya miaka 7?
Km kweli ww ni mwanachama na mkutano mkuu wa mwisho kila kitu kilizungumzwa, pamoja na report ya mapato na matumizi ya club ilitolewa, sasa hizo hela za uanachma unazipoteza vp wakati kila kitu kipo waziwewe utakuwa ni shabiki tu, ila tutakao umia ni sisi wanachama tunaopoteza pesa zetu za mchango wa kadi za uanachama.
Yaani hadi Miaka hii bado kuna watu mnaakili ya kuendelea kutegemea mtu, badala ya kujenga taasisi imala, ili hata kesho akiwa hayupo timu iweze kujiendesha, ndio maana kuna makampuni yana miaka 50,toka wamiliki wake wafariki, lakini hadi leo shughuri zinaendelea kama kawaida, sasa haya ya kumtegemea mtu, ndio maana kuna kipindi alipo tweet, watu kama nyie mlipagawa, kwani mlijua kabisa mnarudi kule kule mlikotoka!!! Club kongwe,baada ya miaka zaidi ya 80,ndio kwanza wamejenga uwanja, huyo mwingine bado, leo Gwambina ana uwanja wake,!!! Acheni fikra hizo badirikeniWewe piga kelele mwenzio ana hela na anaisaidia timu, nakushauri nenda kalipe wachezaji mishahara, toa pesa ya usajili halafu ndio uanzishe hizo kelele zako la sivyo hakusikilizi mtu kama utakuwa na mikelele bila hela.
Nenda wewe kagombee uongozi ili uweke mawazo mbadala unayotutolea huku, mo juzi kasema kuna malengo ya muda mfupi, ya kati na ya muda mrefu, unazani kwenye malengo yote hayo watakuwa wanategemea mtu? Ukweli utabaki palepale ili usikilizwe kwasasa weka fungu sio mineno miiiiingi huna kituYaani hadi Miaka hii bado kuna watu mnaakili ya kuendelea kutegemea mtu, badala ya kujenga taasisi imala, ili hata kesho akiwa hayupo timu iweze kujiendesha, ndio maana kuna makampuni yana miaka 50,toka wamiliki wake wafariki, lakini hadi leo shughuri zinaendelea kama kawaida, sasa haya ya kumtegemea mtu, ndio maana kuna kipindi alipo tweet, watu kama nyie mlipagawa, kwani mlijua kabisa mnarudi kule kule mlikotoka!!! Club kongwe,baada ya miaka zaidi ya 80,ndio kwanza wamejenga uwanja, huyo mwingine bado, leo Gwambina ana uwanja wake,!!! Acheni fikra hizo badirikeni
Shida mnaopiga kelele sio wenye timu,Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa kama sehemu ya umiliki wa Klabu yetu. Mpaka sasa Mo ajaitoa hiyo pesa yote, huku akitoa majibu mepesi mepesi kuwa pesa hatoitoa yote kwa sasa na badala yake atatoa bilioni 3 kila msimu.
Kilichonishangaza zaidi ni kumsikia akilalamika kuwa kuna watu ndani ya Simba wana chokochoko. Yaani wanachama tunaanzaje kuwa na chokochoko kwa kuhoji masuala ya msingi?
Mategemeo yetu mpaka sasa tuwe tumeanza kujenga academy ya Simba, cha kushangaza kwenye press akawa anazungumzia habari ya kutufita vipaji mikoani. Sasa hivyo vipaji vitaenda kucheza wapi? Mchangani?
Ni muda sasa umefika viongozi wa klabu yangu tuweke kikao ili tujitafakari na kujadiri kwa kina malengo yetu kama klabu. Huu sio muda wa wanasiasa kufanya siasa zao klabu ili hali wanachama wanataka kuona maendeleo ya kweli.
Ninaamini mimi ni mmoja wa wachache niliyepata ujasiri wa kujitokeza na kuzungumza siuala hili.
Wale wa kuokota okota wanatofauti gani na kina Moringa na Yipe 😂😂😂😂😂Teh teh teh 😃😃😃 angalau wameamua kusajili, huenda wakaleta ushindani.
Unahoji hizo Bill 20 Anza kwanza kutuambià wewe umeichangia Sh ngapi Simba.
Sisi mashabiki wa Simba na Wanachama tumeridhika na uendeshaji wa timu ulivyo hivi sasa Maendeleo ya timu yanaonekana na ndio furaha yetu sisi Mashabiki.
Umeandika upuuzi mtupu..mlikuwa wapi kipindi Simba inakosa mishahara ya wachezaji..?!!
Acha shobo tuache.Mo anatupiga pigo la kisayansi mkuu.
inabidi wanachama na viongozi tuamke.
Pesa ambayo alitakiwa aiingize klabuni kwa ajili ya uwekezaji kwenye miundo mbinu yeye ameenda iweka kwenye bond coupon mbayo faiya ya hiyo bond kwa mwaka ni bilion 3. ambayo mwisho wa siku anaitoa kwa klabu kama ruzuku.
In reality hakuna anachofanya zaidi ya kulipa mishahara na kununua wachezaji.
Kadi sh ngapi bwashee?wewe utakuwa ni shabiki tu, ila tutakao umia ni sisi wanachama tunaopoteza pesa zetu za mchango wa kadi za uanachama.
Ambacho simba wenye pamoja na wewe bi hindu mlishindwaMo anatupiga pigo la kisayansi mkuu.
inabidi wanachama na viongozi tuamke.
Pesa ambayo alitakiwa aiingize klabuni kwa ajili ya uwekezaji kwenye miundo mbinu yeye ameenda iweka kwenye bond coupon mbayo faiya ya hiyo bond kwa mwaka ni bilion 3. ambayo mwisho wa siku anaitoa kwa klabu kama ruzuku.
In reality hakuna anachofanya zaidi ya kulipa mishahara na kununua wachezaji.
wewe umetoa ngapi pumbaaaaavUnazungumziaje suala la kusubiri mchakato ukamilike ikiwa ni miaka mitatu sasa tangu MO awepo pale.
Kila mwaka yeye anatoa ruzuku ya Bilioni 3. Je Tutazidai vipi hizo bilioni 20, baada ya miaka 7?
Wewe una Akili wenzio ni mbumbumbu. Utapata tabu sana!!Unazungumziaje suala la kusubiri mchakato ukamilike ikiwa ni miaka mitatu sasa tangu MO awepo pale.
Kila mwaka yeye anatoa ruzuku ya Bilioni 3. Je Tutazidai vipi hizo bilioni 20, baada ya miaka 7?