Katika hili MO anatuingizia Siasa kwenye Simba SC yetu. Tusiogope kumdhibiti


20 billion not necessarily in full amount, it can be spread out across time schedule as per agreement, 20 billion in exchange of what that Simba SC has already given to Mo Dewiji? If agreement isnt yet in operation there is interim way of running the club as we move towards our desired new mgt, of which I guess the club is probably exercising Utopolo on implementation.
 
Huyu Nyani ameshaona Utopoloni hakuna cha kukizungumzia basi anishia kuzunguka kwa Simba tu.

Enewey! Utopolo wanamtaka MO anatoe 20B kwa Simba kwa hisa zake 49%, Lakini mbona hatupewi majibu kuwa Je, wao Wanachama wenye hizo hisa 51% wametoa Billion Ngapi kwa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…