Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujenge tabia ya kuelezana ukweli kabla ya kutoka nje! Tupendane jamani!Umetoka out na mkeo/girlfriend,then anakuuliza;'Honey,how do I look today?'.Ukimcheki unaona wazi wazi kachukiza ile mbaya,unamjibuje?
Hiyo ni kwa wife unayetokanae nyumba moja,vipi kwa girlfriend ambaye hamtoki nae the same house,we upo sehemu fulani unamsubiri aje au yeye ndo kakutangulia anapata vinywaji mdogo mdogo wakati anakusubiri?kama bado hatujaondoka home namwambia kabisa "bwana hujatoka fresh"change 1 2 3 n.k.kama hajaniuliza na kama hajapendeza (amechukiza) nitamwambia, na nitamwelekeza nini abadilisheili kiweje ili nini!katika mapenzi ya dhati, ukipendeza ni fahari kw mpenzi wako, na yeye akipendeza ni fahari kwako.