Katika hili Wakristo tumepotoka

Mama huyo akashika mimba ya Yesu kwa kushirikiana na Mungu. Ndiyo kusema kwamba Yesu akiwa mwana halisi wa Mungu akazaliwa pasipo kuwa na dhambi, hata hivyo akachukua sifa na sura ya binadamu.

KWAHIYO HAPO MUNGU ALIMSHIRIKISHA MWANAADAM SIO dah huu moto unatusubiri wengi sana
 
Wewe endelea kuamini Yesu sio Mungu waache wanaoamini Yesu ni Mungu waendelee kuamini hivyo. Kinakuuma nini? Kila mtu atabeba dhambi zake. Ova.
 
. Ni vingi tu inamashaka sana hii dini, pia hua najiuliza bible imeshuswa na nabii gan au ni watu wapgaj...maana haiingii akilin vtabu vtatu vya mungu vikusanywe kwenye one potable book...kuna upotoshaj hapa asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…