Katika hili Wakristo tumepotoka

Katika hili Wakristo tumepotoka

Kwaio ufunuo wa kwanza kwenye safari ya mkristo ni kujua Yesu ni nani.
Kilichotokea msalaban ni nini.

Anapoamini hilo mengine ndo yanafuat.
MADHEHEBU wanajua aya ila wanaogopa kuyasema kwa sababu ni kinyume na mafundisho yao ya utatu.
Hakuna kitu kinaitwa utatu kwenye biblia ni upinga kristo kumgawa mungu na kumfanya awe ni watu watatu tofauti.

Wengi wanajiita wakristo na hawamjui huyo krsto mwenyewe alikuwa ni nani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hakuna sehem imeandikwa JINA LA BABA NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU.

Ila imeandikwa JINA LA BABA NA" MWANA NA " ROHO MTAKATIFU.
Baba sio jina wala mwana wla roho mtakatifu. Ila nisifa . Wewe unaweza kuwa baba na ukawa mwana pia pia ukawa mkwe.

Ndio mana mitume walipopata ufunuo huo wakaenda kubatiza kwa jina la yesu kristo.

Yesu alisema baba jina ulilonipa mimi nami nawapa.

Mungu haendeshi kanisa lake kwa seminari.
Analiendesha kwa ufunui. Na ufunuo unapaswa uwe sawasawa na biblia nzima.
SIO KANUNI ZA IMANI ZA MAKANISA.

KWAIO usiseme wakristo wamepotea sema madhehebu ymepotea.

KUNA TOFAUTI KATI YA DHEHEBU NA KANISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom