Pia hakuna sehem imeandikwa JINA LA BABA NA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU.
Ila imeandikwa JINA LA BABA NA" MWANA NA " ROHO MTAKATIFU.
Baba sio jina wala mwana wla roho mtakatifu. Ila nisifa . Wewe unaweza kuwa baba na ukawa mwana pia pia ukawa mkwe.
Ndio mana mitume walipopata ufunuo huo wakaenda kubatiza kwa jina la yesu kristo.
Yesu alisema baba jina ulilonipa mimi nami nawapa.
Mungu haendeshi kanisa lake kwa seminari.
Analiendesha kwa ufunui. Na ufunuo unapaswa uwe sawasawa na biblia nzima.
SIO KANUNI ZA IMANI ZA MAKANISA.
KWAIO usiseme wakristo wamepotea sema madhehebu ymepotea.
KUNA TOFAUTI KATI YA DHEHEBU NA KANISA.
Sent using
Jamii Forums mobile app