Katika hili wanawake wanakosea


Ndiyo maana nasema tuchukulie mazingira ya tanzania na nchi nyingine maskini ili tuhusishe utu. Hata hao ma-baa medi kama uliyo sema kuna sehemu wanalipwa vyema na wanaishi ki-vyao lakini kuna sehemu zingine wana mshahara mzuri na wanapewa vyumba vya kulala, hii inatokana na roho nzuri ya mwenye biashara.

Wito wa mtoa mada hii kwa jamii ni kwamba akina mama/baba tuwe na moyo wa utu na huruma ktk kuishi na watumishi wetu wa ndani na wanapo kosea tuwashauri/tuwaadhibu kama ndugu zetu/watoto wetu au wadogo zetu.
 

Nakushukuru sana sana Magezi, umenisaidia kufafanua jambo hili, maana mimi nilikuwa sieleweki, Mungu na akubariki
 
Wito wa mtoa mada hii kwa jamii ni kwamba akina mama/baba tuwe na moyo wa utu na huruma ktk kuishi na watumishi wetu wa ndani na wanapo kosea tuwashauri/tuwaadhibu kama ndugu zetu/watoto wetu au wadogo zetu.
Kweli Magezi umenisaidia sana, mada hii inaeleweka isipokuwa kuna watu wanajifanya hawaelewi maana ninayopinga ndiyo wanayowafanyia hawa mabinti, Mungu atawalaani wote,
 
hivi kwa mfano ukimuuliza mimba katoa wapi akakwambia ni ya mmeo utafanya nini hapo??
swala la mshahara nalo ni issue 15,000.00 ni ndogo sana kwa maisha ya sasa sijui huwa tunafikilia nn kuwapa mshahara mdogo namna hii?

Wanakula na kulala kwa mwenye nyumba hawalipi kodi yeyote (umeme maji nk) nafikiri inawatosha
 
hivi kwa mfano ukimuuliza mimba katoa wapi akakwambia ni ya mmeo utafanya nini hapo??
swala la mshahara nalo ni issue 15,000.00 ni ndogo sana kwa maisha ya sasa sijui huwa tunafikilia nn kuwapa mshahara mdogo namna hii?
Kama ni ya mmeo, cha kufanya ni kuwaeleza wazazi wake kuwa amekuwa mke mwenzio na sio mfanyakazi tena, mmeo kama atakubali mwambie ampangishie chumba

Hiyo mishahara midogo ndiyo inayosababisha wapewe mimba na wauza mchicha magengeni au wapiga debe,

Msichana anayelipwa kuanzia 30,000/= kwa mwezi hawezi kupata mimba kienyeji hivyo.
 
Hebu leteni case studies za kweli, kisha tuzifanyie analysis.... hii nadharia haitaisaidia hii thread!
 
Hebu leteni case studies za kweli, kisha tuzifanyie analysis.... hii nadharia haitaisaidia hii thread!
Waulize waliosapoti mada hii, watakwambia kuwa yanatokea, kama unaishi uswahilini yanatokea sana, case za kweli utazipata ukitembelea uswahilini, lakini huko masaki na o`bay hauwezi kuelewa kinachozungumzwa hapa.
 
Hebu leteni case studies za kweli, kisha tuzifanyie analysis.... hii nadharia haitaisaidia hii thread!

Mkuu hii siyo nadhalia.....tunaishi mtaani tunayaona na wengine hapa tunaishi na hawa mabinti na wametueleza mengi kuhusu manyanyaso wanayo pata.

Cha msingi ni kwamba let's try to treat them equally as our children or young sisters then we will see the change.
 

Asante Mkuu, kweli wanakosea
 
Masaki hata mimi pia sijamwelewa jamaa kabisa yaani alikuwa nalenga nini? Kaitaba please hebu tufafanulie ili tuelewe zaidi.

Jamani huyu anamaanisha nyie akina mama mna roho mbaya binti wa watu amepata mimba nyumbani kwako hata roho ya huruma kumsaidia hakuna ndo kwanza unamsepesha haraka haraka hata kama ni mimba ya mmeo.
 


mimba ya bahati mbaya? hiyo atakuwa amejitafutia matatizo mwenyewe!...kwanini actumie kinga?....kumuoza ni rahic pale ambapo aliempa mimba akamkubali akimkataa utafanyaje na huna ushaidi kwamba mimba ni ya huyo anaetajwa?....wawe makini watokapo kjjn.
 


na hicho kipindi akiwa mzazi nani anisaidie kazi za ndani na mie ni mfanyakazi na nina mtoto mdogo? malezi mchezo....kama wanajiona wadogo kwanini wanafanya mambo ya kikubwa, ndio maana niligoma na ma h/g,nilikuwa na mmoja na nilimtoa kjjn haswa, nilikaa nae chini na kumuelewesha maisha jinc alivyo awe makini na hiki na kile, alivyooanza kupendeza na tabia ilibadilika na aliempa ujauzito alimkana, nilifanya kumrudisha kwao na asante na pesa kidogo afanye shughuli binafc hapo kjjn.......
 


sasa undugu upi wakati malezi ya wanangu yananipa presha?
 
Well said Mkuu hapa jambo lipo lazima tulingalie kwa upanaa wake sana!
 


mbona mie nilikuwa nampa 35 na alipata? na hapo ni nje ya kila kitu, malazi juu yangu,hata vitu vya kidada nilikuwa namnunulia pale ninapoweza....
 
hapo ndo ukweli utaujua lakini ukimfukuza haraka hutaujua ukweli na hata kama ni mumeo ndo kampa mimba mtumishi wa ndani sheria lazima imbane, tumeyaona kwa Mahita.
Mahita kalipa?! si bado mtoto anateseka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…