Asante Nicky82 kutuwekea hii ya Zitto.
Hiki tunachokishuhudia hapa,
Zitto na Demokrasia , ni moja ya faida kubwa ya exposure aliyonayo Zitto, over and above viongozi wengine wote wa Chadema ndio maana anapiga kampeni Ki Obama Obama.
Kwa vile Zitto namfahamu kwa karibu, kuna uwezekano wa moja kati ya haya mawili, au yote kwa pamoja.
1. Zitto aliyapendekeza haya yote kwa Chadema, na yakapuuzwa, hivyo yeye binafsi ameamua kuendelea nayo.
2. Kuna uwezekano wametofautiana mahali, ndani kwa ndani, hivyo Zitto ameamua kubaki kivyake, na kuondesha kampeni zake kisasa zaidi ndio maana ile siku ya uzxinduzi wa kapeni yao pale Jangwani, nilitegemea kumuona Zitto ni miongoni mwao, laki nin siku hiyo hiyo Zitto naye alikuwa akizindua kampeni jimboni kwake Kigoma.
Na kufuatia kumfahamu Zitto, his biggest strength is his head, brain, he is bright na briliant up stairs na ana amaizing convincing power, yaani ana nguvu kubwa ya ushawishi kufuatia kujua kupanga na kujenga hoja za nguvu.
His greates weakness, his failure to see the diferent point of view. Vision yake inona only one side of view, the right way, and that is his view no any other view. Akitaka kitu, lazima akipate na akigive in, he is wounded, ndio maana aliwahi kuutaka uenyekiti wa Chadema, na ile kauli yake ya kugombea urais 2015 ni kutuma ujumbe kuwa Slaa hapiti, rais ni JK, hivyo anampata tahadhari Dr. Slaa asijaribu mwaka 2015, itakuwa ni zamu yake.
Kwa maoni yangu, that is wrong, angetakiwa kusubiri uchaguzi umekwisha ameshachaguliwa kurudi mjengoni ndipo aanzishe hako kawimbo ka urais, na ikitokea mjengoni asirudi, huo urais wa 2015 atauanzia wapi!. Msicheze na CCM Jamani, japo watu wa Kigoma, nawaaminia, Mlingotini ni cha mtoto!.