Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Tanzania itafungiwa na CAF kwa kumchezasha mchezaji sio raia kwenye timu ya Taifa.Kibu Denis tatizo Uraia wake una utata
Teh teh Yanga tena?Tanzania itafungiwa na CAF kwa kumchezasha mchezaji sio raia kwenye timu ya Taifa.
Alipate kitambulisho cha Taifa na Passport.
Nadhani ni figisu za Yanga tu.
NYIE ndiyo mnafanya hata timu inakosa matokeo kwa ujuaji wenu.Presha zisizo na maana. Kujifanya nanyi ni benchi la ufundi.Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...
1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude
Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....
1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga
Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
Simba ina wachezaji sita wanaoweza kucheza DM iumie na kutokuwepo kwa Aucho tu ?Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Acha uongo mkuu Simba ilikosa ubingwa kwa misimu mitano mfululizo lakini uwanjani tulikuwa tunaenda.simba inajenga timu now ili kuweza kuwa bora zaid kama enzi za kina chama. Hii transition period ina try and error nyingi.
Kama ww ni shabiki maandazi hama timu au acha ushabiki huku ukisubiria timu irudi kwenye makali yake.
Afu simba mashabiki wengi wetu hatuna mioyo migumu kama YANGA. Embu imagine mtu anakosa vikombe mara nne mfululizo lakn hahami timu, na bado wanajaza uwanja na kwene mechi watu wanaenda mbali na matokeo mabaya.
Sisi huku timu kupoteza tumichezo tuwili na droo moja watu wanapaniki, mapresha kibaoooooo. Utafikri hatujawahi kufungwa, kudroo na Yanga na timu zingine wakati akina miksoni na Chama wapo. Acheni hizo tuvute subira wakuu. Mambo mazuri yanakuja.
Nb: Inabidi mashabiki wa ARSENAL watoe darasa kwa mashabiki wa timu yetu kwa kwli
Msimu uliopita Marefa walikuwa hawaamui kumtoa ?Ndio maana kunakua na usajili unaangalia wap kuna shida unarekebisha ,na kingine kucheza msimu uliopita sio ishu ishu kufanya vzur ata msimu uliopita ni vile simba tu ilikua vzur ukichanganya na udhaifu wa timu pinzan ndio maana alisaidia kwa kiasi chake lkn msimu huu wale wote ambao msimu uliopita tupo nao ktk ligi au champion ligi wengi wameangalia sehem gan ina shida wamerekebisha angalia mfano yanga leo hii ata mukoko bado hana uwakika wa namba eneo la kat wapo vzur sisi kuendelea kutegemea ukabaji wa lwanga mechi kubwa nying kama marefa wakiamua tutacheza pungufu
Simba ya wapi yenye shida ya kiungo cha ukabaji?Ndio maana kunakua na usajili unaangalia wap kuna shida unarekebisha ,na kingine kucheza msimu uliopita sio ishu ishu kufanya vzur ata msimu uliopita ni vile simba tu ilikua vzur ukichanganya na udhaifu wa timu pinzan ndio maana alisaidia kwa kiasi chake lkn msimu huu wale wote ambao msimu uliopita tupo nao ktk ligi au champion ligi wengi wameangalia sehem gan ina shida wamerekebisha angalia mfano yanga leo hii ata mukoko bado hana uwakika wa namba eneo la kat wapo vzur sisi kuendelea kutegemea ukabaji wa lwanga mechi kubwa nying kama marefa wakiamua tutacheza pungufu
Wewe ni mjinga sana na huenda sio shabiki wa Simba ila ni Manara. Sema jf ndo vile tunatumia id fake
Wewe ni nani?
-Okay. Kumbe ni Mighter!
Kama nani?
-Maybe n Mganga
Maana kuna uzi wako unahamasisha Club ya Simba ibadilishe waganga[emoji23] na mbinu nyingi za kishirikina.
Unampangia nani sasa? / Una mcommand nani sasa?
i. Coach? ii. Bench ?
Panic zipo katika soka...Lakini hapa kwako sion kama n mtu ulipanic bali nakuona kijana Mjinga tu.
Makolo muli bwanji BabaaSimba ina wachezaji sita wanaoweza kucheza DM iumie na kutokuwepo kwa Aucho tu ?
Hebu fuatilia timu alizowahi kuzichezea Aucho ukiondoa Uganda national teams zimepata mafanikio gani?
Unamaanisha nini mkuu ?Makolo muli bwanji Babaa