Katika Kikosi Kijacho cha Simba SC nisipokuwa nawaona hawa Wanaanza na hawa Wanasubiri naacha Kuishabikia rasmi

Katika Kikosi Kijacho cha Simba SC nisipokuwa nawaona hawa Wanaanza na hawa Wanasubiri naacha Kuishabikia rasmi

Kikosi cha kuanza Kesho

1. Manula
2. Wawa
3. Shabalala
4. Kennedi
5.Unyango
6. Kanutte
7.Sakho
8.Duncan
9.Kibu Dennis
10.Kagere
11.Mhilu
Kama Kibu hayupo aanze Mugalu.
(nadhani amejirekebisha)
 
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali...

1. Kibu Denis
2. Osmane Sakho
3. Yusuph Mhilu
4. Jonas Mkude

Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench....

1. John Boko
2. Meddie Kagere
3. Chris Mugalu
4. Thadeo Lwanga

Sasa ole wenu msinitii mtanitambua.
NYIE ndiyo mnafanya hata timu inakosa matokeo kwa ujuaji wenu.Presha zisizo na maana. Kujifanya nanyi ni benchi la ufundi.
 
Ila tuache utani simba ktk sehem muhim ambayo watakuja kujuta mwaka huu ni kiungo mkabaji na namba tisa kumkosa aucho alaf bado wakazalau kwa kumwamin lwanga watapata shida sana kucheza na timu zenye kiungo wasumbufu yule lwanga sio mkabaji mzur yupo slow na anacheza sana faulo
Simba ina wachezaji sita wanaoweza kucheza DM iumie na kutokuwepo kwa Aucho tu ?

Hebu fuatilia timu alizowahi kuzichezea Aucho ukiondoa Uganda national teams zimepata mafanikio gani?
 
simba inajenga timu now ili kuweza kuwa bora zaid kama enzi za kina chama. Hii transition period ina try and error nyingi.
Kama ww ni shabiki maandazi hama timu au acha ushabiki huku ukisubiria timu irudi kwenye makali yake.

Afu simba mashabiki wengi wetu hatuna mioyo migumu kama YANGA. Embu imagine mtu anakosa vikombe mara nne mfululizo lakn hahami timu, na bado wanajaza uwanja na kwene mechi watu wanaenda mbali na matokeo mabaya.

Sisi huku timu kupoteza tumichezo tuwili na droo moja watu wanapaniki, mapresha kibaoooooo. Utafikri hatujawahi kufungwa, kudroo na Yanga na timu zingine wakati akina miksoni na Chama wapo. Acheni hizo tuvute subira wakuu. Mambo mazuri yanakuja.

Nb: Inabidi mashabiki wa ARSENAL watoe darasa kwa mashabiki wa timu yetu kwa kwli
Acha uongo mkuu Simba ilikosa ubingwa kwa misimu mitano mfululizo lakini uwanjani tulikuwa tunaenda.

Yanga ulikuwa unaona idadi ndogo ya mashabiki misimu miwili iliyopita ?

Kuna shabiki gani wa Simba kahama timu kwa sababu ya matokeo mabovu ya timu ?
 
Ndio maana kunakua na usajili unaangalia wap kuna shida unarekebisha ,na kingine kucheza msimu uliopita sio ishu ishu kufanya vzur ata msimu uliopita ni vile simba tu ilikua vzur ukichanganya na udhaifu wa timu pinzan ndio maana alisaidia kwa kiasi chake lkn msimu huu wale wote ambao msimu uliopita tupo nao ktk ligi au champion ligi wengi wameangalia sehem gan ina shida wamerekebisha angalia mfano yanga leo hii ata mukoko bado hana uwakika wa namba eneo la kat wapo vzur sisi kuendelea kutegemea ukabaji wa lwanga mechi kubwa nying kama marefa wakiamua tutacheza pungufu
Msimu uliopita Marefa walikuwa hawaamui kumtoa ?

Ubora wa Yanga vs Simba unaupimaje ?
 
Ndio maana kunakua na usajili unaangalia wap kuna shida unarekebisha ,na kingine kucheza msimu uliopita sio ishu ishu kufanya vzur ata msimu uliopita ni vile simba tu ilikua vzur ukichanganya na udhaifu wa timu pinzan ndio maana alisaidia kwa kiasi chake lkn msimu huu wale wote ambao msimu uliopita tupo nao ktk ligi au champion ligi wengi wameangalia sehem gan ina shida wamerekebisha angalia mfano yanga leo hii ata mukoko bado hana uwakika wa namba eneo la kat wapo vzur sisi kuendelea kutegemea ukabaji wa lwanga mechi kubwa nying kama marefa wakiamua tutacheza pungufu
Simba ya wapi yenye shida ya kiungo cha ukabaji?
Unafuatilia mpira lakini mkuu?
 
🇹🇿 YUSUPH MHILU

🇲🇼Banda - 🇸🇳 Sakho - 🇹🇿 Kibu

🇲🇱 Kanoute - 🇺🇬 Lwanga -

🇹🇿 Zimbwe Jr- 🇹🇿 Kenedy 🇨🇩Inonga-🇹🇿Israel

🇹🇿 Manula

Formation: 4-2-3-1

Kikosi kinapaswa kuwa hivyo 👆 basi hatutojutia Trust me! Hiyo ndiyo FIRST ELEVEN yetu kwa sasa lakini Kocha anashindwa kujiamini.​
 
Wewe ni nani?

-Okay. Kumbe ni Mighter!

Kama nani?

-Maybe n Mganga

Maana kuna uzi wako unahamasisha Club ya Simba ibadilishe waganga[emoji23] na mbinu nyingi za kishirikina.

Unampangia nani sasa? / Una mcommand nani sasa?
i. Coach? ii. Bench ?

Panic zipo katika soka...Lakini hapa kwako sion kama n mtu ulipanic bali nakuona kijana Mjinga tu.

Hiyo aya ya mwisho ndiyo umemaliza kila kitu,kuna shida kubwa sana kwa mleta mada,ni vile tu hapa hatuonani lakini kupitia uandishi wake unaona iko shida kubwa kwa serikali ya kichwa chake.
 
Simba ina wachezaji sita wanaoweza kucheza DM iumie na kutokuwepo kwa Aucho tu ?

Hebu fuatilia timu alizowahi kuzichezea Aucho ukiondoa Uganda national teams zimepata mafanikio gani?
Makolo muli bwanji Babaa
 
Nilikuwa nakuona wa maana sana kumbe nae 🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom