Hahahaaaa....... hahahaaaa........ hahahaaaa............!Daah JF siku hizi kama Facebook na Instagram sababu ya members kama hawa! Shame
Bwashee vumilia hili ni jukwaa huru....... Ukikereka unapita kimya tu!Jamiiforums. Hizi mada za kidwanzi muwe mnazifuta, huu ni utumbo kama ulivyo utumbo mwingine toka Lumumba.
kiduanzi....ha ha haJamiiforums. Hizi mada za kidwanzi muwe mnazifuta, huu ni utumbo kama ulivyo utumbo mwingine toka Lumumba.
Hahahahkmbwembwe,
Watu wengine bwana, hapa nawe unaona umeandika uzi wa maana. Kijana kaa chini angalia ni mtu wa aina gani unayetaka kumchallenge alafu jilinganishe uwezo wako na yeye ili ujipange kwa hoja sio huu utopolo unaotuletea humu. Huna point humu za kuargue hoja za Lissu.
Tatizo nyie nyumbu mumeshatekwa akili kwamba lisu ni msomi anajua wakati anaongozwa na jazba na chuki tu. Hivi sasa mnaomsapoti mumegeuka kasuku kurudiarudia uongo kejeli na matusi anayotoakmbwembwe,