Kama hujaona point hapo bila shaka una uelewa mdogo au ni nyumbu mfuata malisho 😂😂kmbwembwe,
Watu wengine bwana, hapa nawe unaona umeandika uzi wa maana. Kijana kaa chini angalia ni mtu wa aina gani unayetaka kumchallenge alafu jilinganishe uwezo wako na yeye ili ujipange kwa hoja sio huu utopolo unaotuletea humu. Huna point humu za kuargue hoja za Lissu.