Katika kila mfumo wa utawala wa nchi kuna kauli hazivumiliki

Mleta mada kama hujatumwa/kulipwa kuandika haya basi jua una tatizo la msingi, tena siyo masihara
Kama hujaona sense kwenye hiyo mada utakua una tatizo la akili. Au huelewi au ni kasuku au nyumbu mfuata malisho.
 
Sasa mjinga Nani hapa ? Mtoa mada Bora urudie kusoma ulichoandika huna jipya acha hasira utakufa kwa pressure but. Lete logic sio unashambulia mtu. Haya kauli ya TL haivumiliki kwa Nani? Kwa hiyo unatakaje. Fanya kazi acha kulialia !!!
 
Kama hujaona point hapo bila shaka una uelewa mdogo au ni nyumbu mfuata malisho 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…