Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

Uchumi wa nchi siyo kama biashara ya maandazi dogo, kwamba ukitoa sh 10 unajua hapo hapo kama imepungua

Mpe Putin miaka 5 ya kuhangaika na hii vita alafu uje uone sebene lake kwenye uchumi
EU ndio wanahangaika baada ya kumwekea vikwazo Urusi. Urusi wana resources nyingi sana kuzidi EU yote.
 
Wewe unajua sana kuliko wenyewe usa?....unahisi usa wamekurupuka?.....punguza ujuaji wewe ni mjinga kama wajinga wengine usa wanajua Nini wanafanya wewe huna unalolijua kula zako ugali na bamia kalale🤣
 
U
Kwahio unafikiri Putin atavumilia hadi afilisike? Kinachosubiriwa sahizi ni makombora ya UK na washirika wengine wa NATO maana yatasomeka yalipotoka kwenye GPS.
 
Urusi mpaka sasa hajaishinda Ukraine, pamoja na kuwa NATO haijaingia vitani. Kanchi kadogo kamekomaa zaidi ya miaka 2 sasa. NATO ikiingia kwa umoja wake wote na nguvu zake zote, Urusi haimalizi wiki labda watumie nuclear.
We jidanganye hivyo hivyo, Ukraine haina jeshi wanapiganishwa wastaafu wa Canada, UK, US na mataifa mengine ya NATO. Bila hao kuingizwa vita ingekuwa imeisha.
 
Ukraine ililazimishwa kuharibu Silaha zake za Nuclear ndio maana anaonewa na Urusi kama angelikuwa bado ananazo sidhani kama Russia ingemuonea hivi.
Ni kwamba baada ya urusi ile (sovieti) kisambaratika,kulikuwekwa makubaliano katika zile nchi zilizokuwa zinaunda USSR,zikiongozwa na kaka yao mkubwa hii urusi ya Putin kwamba tuendelee kushirikiana katika ulinzi ,uchumi nk,maana bado ni ndugu, Sasa kubaliano mojawapo ni ukrain kukabidhi hizo silaha Kwa urusi( kaka),maana kumbuka Ukraine ilikuwa miongoni mwa mikoa yenye viwanda vingi vya silaha na kinu kikubwa kiko huko,urusi kuivamia Ukraine ni kwasababu yakukiuka makubaliano walokuwa wamejiwekea wao wenyewe,pia kulikuwa na makubaliano na nchi za NATO kuwa zisije zikajitanua kwenda mashariki (kw nia yakuzimega nchi zilokuwa zinaunda USSR), tokana na hayo urusi anahaki zote za kukasirika nakuchukua hatua yakuivamia Ukraine ambayo ni mtoto jeuri amekiuka makubaliano,kwanini anausaliti ukoo wake??
 
Fair gani wakati Urusi inapigana na nchi zote za NATO na bado wamemshindwa?

Ngoja WW3 ianze ndio utajua tofauti ya wanaume wa Russia na mashoga ya west. Urussi moja inaweza kuwashinda wote hao NATO na upuuzi wao
Urusi anapigana na Nato ipi au unaleta unafiki hivi nato unaifahamu ni dharau zenu za madrasa ndio zimekukaa hilo anga lote la urusi lingejaa ndege za nato kaangalie mazoezi ya nato ndio utawafahamu mnampaisha huyu urusi anaesaidiwa na vinchi vilivyochoka kama korea kaskazini, Iran
 
PUtin alitumia wanajeshi wa kiduku sasa yeye mkubwa afu kaomba msaada wa wanajeshi na silaha afu hataki mwenzie afanye yake
 
mwambie huyu anadhan NATO ni wadogo
 
mkuu kosa liko wapi mbona Biden wamechelewa kuruhusu izo silaha kutumika? Ukrain raia wao wameuliwa sana wamesafa sana, wamemtoa adui ndani na kumsukuma nje kwa silaha dhaifu sana,

Russia amekodi wanajeshi kutoka north korea kuongeza nguvu upande wao kwanini sasa na wasiongeze juhudi mana sasa wanapigana na adui 2, mi nadhan US na washirika wake walichelewa sana ata Ukraine wakaazi wa Ukraine jana wamehojiwa wamesema hizo silaha walicheleweshwa sana kuzitumia kwa sababu wanahisi na wao Ukraine wana wajibu sawa kusababisha madhara kama waliyoyapata wao.

Nuclear kila mmoja anazo putin akijaribu hawa jamaa watamaliza kazi, kwenye hivi vita science tupu ndio inatumika, magharibi kama walikuwa wanasoma sura ya vita ikoje, Urusi anapigika, kuongea kwa maneno ni tofauti na uwezo wako kwenye uwanja wa vita ambapo kama unaguvu ndio unatakiwa uonyeshe sio kelele.
 
Umeongea kwa Hisia bila kujua unachokiongea,Unaona nikama vita ya majimaji nini au unadhani ni vita kama ya Islael na Palestine??!! Hao washirika ni mbwa koko wao hawataki kujiingiza moja kwa moja! Tafuta makala za kiuchunguzi soma kwanza uijue Russia kwa ngu zake za kijeshi siyo unakaa katika nyuma ya keybord unaungamna na wale wanasema Israel ananguvu kumbe ni mchumba wa USA
 
Vita ni vita tu iwe ya majimaji au nyengine yoyote ile, washirika wapi ni mbwa koko ama unakusudia North Korea kwa russia
 
Hakuna silaha ambayo Putin hajaitumia ndani ya Ukraine ukiondoka Nuclear, kwahiyo hautakuwa na jipya ni wakati wa raia wa Urusi kuonja joto ya Jiwe.
punguza ujuaji ina maana wewe unajua kuliko warusi wenyewe? hata somalia hujafika unashadadi ya russia kujifanya unaijua ....wabongi ujuaji mwingi lakini kumbe zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…