Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

Fair gani wakati Urusi inapigana na nchi zote za NATO na bado wamemshindwa?

Ngoja WW3 ianze ndio utajua tofauti ya wanaume wa Russia na mashoga ya west. Urussi moja inaweza kuwashinda wote hao NATO na upuuzi wao
Kobaz katika ubora wako. Hebu nijibu, mbona ushoga umetamalaki unguja na Mombasa kuliko iringa?
 
Katika nchi ambayo ukiitoa Poland ambazo zinalalamika sana juu ya Russia kwenye mapigano yake na Ukraine Lithuania nayo imo!

Kuna kipindi waziri wao anafanya mkutano na waandishi wa habari kwenye kambi ya kijeshi, Russia alipitisha ndege zake za kijeshi kwenye hiyo kambi mpaka karatasi zao za kuongelea zilipeperuka.

Nov 5 hapo Lithuania imetoka kulalamikq kwa wakubwa zake dhidi ya Russia.

Lithuania ni nchi ndogo sana, hata msuli wowote wa kukabiliana na Russia.

Hizo nchi zote ulizotaja hakuna hata moja yenye uwezo wa kupambana na Russia.

Chancellor wa Germany kahangaika miaka 2 ya kutafuta namna ya kuongea na Russia baada ya Russia kutopokea simu yao!

Macron mpaka sasa hivi ana haha kuwasiliana na Putin, hajapokea simu zao mwaka naaa!
Chief. Profile yako kama ya mtoto wa Osama alofukuzwa majuzi ufaransa
 
NATO wanapambana na Rusia wapi?

Kiufupi hii vita ni kama Ukrain kafungwa mikono,
Wanachofanya nato ni kumpa Ukrain silaha kadhaa huku matumizi yake nayo yakiwa ni ya masharti, huku yeye Putin akijipigia tu popote ndani ya Ukrain.

NATO wangeamua kupambana na Putin hiyo vita saa hii ingekuwa ilishaisha
Sasa kwa nini hawapambani na Putin vilivyo ili vita iishe?
 
NATO wanapambana na Rusia wapi?

Kiufupi hii vita ni kama Ukrain kafungwa mikono,
Wanachofanya nato ni kumpa Ukrain silaha kadhaa huku matumizi yake nayo yakiwa ni ya masharti, huku yeye Putin akijipigia tu popote ndani ya Ukrain.

NATO wangeamua kupambana na Putin hiyo vita saa hii ingekuwa ilishaisha
Si ndio huyo Ukraine apambane mwenyewe kwani lazima asubiri msaada??

Wanaouawa ni watu wa Ukraine,miondombinu inayobarikiwa ni ya wa Ukraine,hasara ni za wa Ukraine sasa kwanini asubiri sijui ruhusa,ruhusa ya nini yeye ashambulie Tu
 
Putin na wakristo na makafili Sana tuu,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe??
Wee chizi Mimi nilishatoka huko kwenye huo upuuzi siamini katika Imani zenu za kipumbavu , Unadhani Mimi na Akili zangu nitakaa na kuamini kuwa kuna binaadamu alipaa na farasi mwenye Mabawa akaenda mbinguni kukabidhiwa sala tano 🤣🤣

Au unadhani nitaweza kukaa na kuamini kuwa Mussa alipiga fimbo baharini na bahari ikagawanyika
 
Hayo mmeshayasema Sana tangu vita inaanza lakini ndio kwanza uchumi wa Russia unazidi kuchanua ,
Uchumi wa nchi siyo kama biashara ya maandazi dogo, kwamba ukitoa sh 10 unajua hapo hapo kama imepungua

Mpe Putin miaka 5 ya kuhangaika na hii vita alafu uje uone sebene lake kwenye uchumi
 
Hapa tatizo ni uelewa wako mdogo wa mambo
Uelewa upi Tena? Ukraine hawakuwa ndani ya USSR Kwa hiari. Waliuliwa hadi Kwa njaa walipoonesha ukaidi wa kuwa ndani ya Urusi. Nenda kasomee Tena habari za namna nchi mbalimbali zilivyoingia ndani ya USSR. Kwa ufupi USSR ndo Rusia. Tofauti na ya USSR na Urusi ni kupungua Kwa maeneo ya kiutawala ya Urusi baada vile vinchi kuachiwa kuwa huru ikiwemo Ukraine. Hivyo, Mali zote muhimu ndani ya nchi hizo ni kazi ya Urusi kama ambavyo Mjerumani alivyotuachia reli yetu pendwa Kongongo ya kwenda Kigoma. Amgekuwa amesimika mitambo ya Silaha za Nyuklia Mjerumani asingeacha mitambo wake kizembe. Lazima angeung'oa
 
Subirini Muda umefika Kyev itakuwa majivu soon leteni mzaa! Pia ikumbukwe hii kitu haitatokea siku akithubutu huyo Zelensky supersonic zitashushwa hapo ukrine bila hata yakujali zinaangukia wapi! maana hapo hakutakuwepo na kitu kinaitwa Hak za binadamu!
Tayari Ukraine/Zelensky ameshathubutu. Ngoja tuone kama Putin atafanya ulivyosema.
 
Russia siyo ya kuilinganisha ni hizi nchi zenu Fikiria anapambana na nchi zote za NATO na bado anakiwasha Hivyo kuweni na umakini!Kwa kila jambo siyo ushabiki wa Smba na Yanga!
Kwani Putin hasaidiwi?
Anapewa askari na silaha pia kutoka Turkey, Iran, North Korea, nk
 
Inaifahamu vizuri NATO wewe,siku NATO akitia timu hapo Rasia Hana Cha kufanya za ya kulipilua nuke,anaifaha vzr NATO ndo maana huto sikia kaigusa ncho yeyote ya NATO
NATO hana lolote anamtegemea US kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom