Katika nchi ambayo ukiitoa Poland ambazo zinalalamika sana juu ya Russia kwenye mapigano yake na Ukraine Lithuania nayo imo!
Kuna kipindi waziri wao anafanya mkutano na waandishi wa habari kwenye kambi ya kijeshi, Russia alipitisha ndege zake za kijeshi kwenye hiyo kambi mpaka karatasi zao za kuongelea zilipeperuka.
Nov 5 hapo Lithuania imetoka kulalamikq kwa wakubwa zake dhidi ya Russia.
Lithuania ni nchi ndogo sana, hata msuli wowote wa kukabiliana na Russia.
Hizo nchi zote ulizotaja hakuna hata moja yenye uwezo wa kupambana na Russia.
Chancellor wa Germany kahangaika miaka 2 ya kutafuta namna ya kuongea na Russia baada ya Russia kutopokea simu yao!
Macron mpaka sasa hivi ana haha kuwasiliana na Putin, hajapokea simu zao mwaka naaa!