U upepo 7 Member Joined Sep 14, 2024 Posts 18 Reaction score 5 Nov 20, 2024 #201 Nasikia leo kutumia za UK tena
HERY HERNHO Senior Member Joined Mar 4, 2022 Posts 110 Reaction score 458 Nov 20, 2024 #202 FUSO said: We Zuena, hakuna kitu ambacho Putin hataki kitokee ni vita kati yake na NATO na ndiyo maana mpaka sasa hivi hajaongea lolote juu ya uamuzi wa US. Click to expand... hata nato nao hawatako vita wanaogopa unadhani nao wanataka
FUSO said: We Zuena, hakuna kitu ambacho Putin hataki kitokee ni vita kati yake na NATO na ndiyo maana mpaka sasa hivi hajaongea lolote juu ya uamuzi wa US. Click to expand... hata nato nao hawatako vita wanaogopa unadhani nao wanataka