Bila kusahau kuwa russia anasaidiwa na iran, north korea, china....Russia siyo ya kuilinganisha ni hizi nchi zenu Fikiria anapambana na nchi zote za NATO na bado anakiwasha Hivyo kuweni na umakini!Kwa kila jambo siyo ushabiki wa Smba na Yanga!
Kwa hiyo ni Russia pekee anayeruhusiwa kutumia silaha atakazo?Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi
Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani.
Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya Urusi kwa mashambulizi machache, maafisa wa Marekani wamesema.
Ukraine inapanga kufanya mashambulizi yake ya kwanza ya masafa marefu katika siku zijazo, duru zilisema, bila kufichua maelezo kutokana na wasiwasi wa kiusalama.
Hatua hiyo ya Marekani inajiri baada ya miezi kadhaa ya ombi la Volodymyr Zelenskyy kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha za Marekani kushambulia maeneo ya kijeshi ya Urusi mbali na mpaka wake.
Mabadiliko hayo yanafuatia Urusi kupeleka wanajeshi wa nchi kavu wa Korea Kaskazini ili kuongeza vikosi vyake, jambo ambalo limezua taharuki mjini Washington na Kyiv.
Mashambulio ya kwanza ya kina huenda yakatekelezwa kwa kutumia roketi za ATACMS, ambazo zina masafa ya hadi maili 190, kulingana na vyanzo.
Kwa Mtazamo wangu nikwamba sasa hii vita inakuja kuwa vita ya ukanda ambayo italeta maafa makubwa sana labda na sema labda kwa rais mpya atakayeingia apige marufuku kuendelea kutumia Siraha za masafa marefu vinginevyo mambo yatakuwa magu sana!
View attachment 3155252
Ukraine ililazimishwa kurejesha Silaha zake za Nuclear ndio maana anaonewa na Urusi kama angelikuwa bado anazo sidhani kama Urusi ingemuonea hivi.
Urusi ni dhaifu mno kwa Sasa kuliko kabla ya Vita.....hivyo hakutakuwa na athari za kutishia usalama wa Dunia.Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi
Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani.
Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya Urusi kwa mashambulizi machache, maafisa wa Marekani wamesema.
Ukraine inapanga kufanya mashambulizi yake ya kwanza ya masafa marefu katika siku zijazo, duru zilisema, bila kufichua maelezo kutokana na wasiwasi wa kiusalama.
Hatua hiyo ya Marekani inajiri baada ya miezi kadhaa ya ombi la Volodymyr Zelenskyy kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha za Marekani kushambulia maeneo ya kijeshi ya Urusi mbali na mpaka wake.
Mabadiliko hayo yanafuatia Urusi kupeleka wanajeshi wa nchi kavu wa Korea Kaskazini ili kuongeza vikosi vyake, jambo ambalo limezua taharuki mjini Washington na Kyiv.
Mashambulio ya kwanza ya kina huenda yakatekelezwa kwa kutumia roketi za ATACMS, ambazo zina masafa ya hadi maili 190, kulingana na vyanzo.
Kwa Mtazamo wangu nikwamba sasa hii vita inakuja kuwa vita ya ukanda ambayo italeta maafa makubwa sana labda na sema labda kwa rais mpya atakayeingia apige marufuku kuendelea kutumia Siraha za masafa marefu vinginevyo mambo yatakuwa magu sana!
View attachment 3155252
Ukraine na Urusi zilikuwa sehemu ya USSRUkraine ilikuwa koloni la Urusi. Sasa mtawaliwa hizo Nyuklia na mabomu yake aliwezaje kuyapata?
Na mobilization zote hizo alizofanya bado haujafika hata 50%?......kuwa serious mkuu...Mpaka sasa Russia katumia 18% za uwezo wake wa kijeshi.
Mahakama kuu tayari ina majaji wametosheleza...na kule huwezi kuwabadili labda mambo matatu
1.Jaji Afariki
2.Jaji astaafu
3.jaji afanye kosa litakalomuondolea sifa ya kuwa jaji...
Vinginevyo hakuna kitu anaweza kufanya...
Urusi mpaka sasa hajaishinda Ukraine, pamoja na kuwa NATO haijaingia vitani. Kanchi kadogo kamekomaa zaidi ya miaka 2 sasa. NATO ikiingia kwa umoja wake wote na nguvu zake zote, Urusi haimalizi wiki labda watumie nuclear.Kwamba NATO wangekuwa wamesha mmaliza Russia sindio unavyotaka tuamini au !?
Acha ujinga ingekuwa ni rahisi hivyo unavyodhani kinacho wafanya NATO wasiivamie Russia nini mpaka Leo hii , mbona Kwa sadam husen na gadafi waliingia bila kusita umeshajiuliza sababu inayo wafanya wasiingie front kama alivyo fanya Korea kaskazini ni ipi ??
Wanaujua mziki wa Russia , Russia sio Syria mdogo wangu
Wanajiondoa ufahamu.Nyie mashabiki uchwara wa urusi hamna akili kabisa hivi hamuoni hii vita vya urusi na ukraine havipiganwi fair kabisa kwanini urusi ana haki kushambulia ukraine kwa silaha zote hadi hizo za masafa marefu halafu ukraine yeye anawekewa limit ya kushambulia eti haruhusiwi kupiga ardhi ya urusi mara haruhusiwi kutumia silaha za masafa marefu
Hili ndilo chukizo kwa Mungu ambalo litawafanya NATO kushindwa vita hii.Ila sikutegemea kama hawana akili kiasi hiki kumbe ni vilaza haswaa mtu mpaka anahalalisha watu kufirana na kusagana anakua sio mzima
Mkuu ile nchi haiendeshwi na watu wasiojitambua.Kwa nini ruhusa itoke leo wakati Trump kashinda uchaguzi na Biden anaondoka?
Yani Trump ameshasema wazi kuwa ataimaliza vita hiyo ndani ya 24hrs halafu wao wanataka kumuachia bigger problem ya WW3.
Hapa ni kama anamuundia Trump zengwe la kimataifa ili ashindwe..
Huyu mzee anazeeka vibaya apigiwe kura aondolewe kabla ya January ataleta uharibifu mkubwa
USA alikaa miaka mingapi akipambana na Syria na licha ya kuwa na Hao wenzake wa NATO wakimsaidiaUrusi mpaka sasa hajaishinda Ukraine, pamoja na kuwa NATO haijaingia vitani. Kanchi kadogo kamekomaa zaidi ya miaka 2 sasa. NATO ikiingia kwa umoja wake wote na nguvu zake zote, Urusi haimalizi wiki labda watumie nuclear.
Hayo mmeshayasema Sana tangu vita inaanza lakini ndio kwanza uchumi wa Russia unazidi kuchanua ,Dogo Acha ushabiki maandazi!
West wanampukuchua Putin mdogo mdogo mapaka ataisha!
Vita ni akili, Putin aliingia kichwa kichwa ila wenzake wanambonda kwa akili.
Kwanza itafika hatua uchumi wake utasinyaa kabisa na hapo ndipo wanapopataka West.
Vita ni hela sasa hivi Putin anawaza kila shilingi itabidi aitumbukize kwenye vita na hapo ndio mtego kwa Putin ulipo.
Huwezi kuona kwa sasa ila subiri miaka 5 au 6 ijayo uone mziki wake
West wasingejihangaisha kuitumbukiza Ukrain kwenye vita visivyo na maslahi kwao.
Usiwe mburura
Alivyofeli Kyiv angerudi tu Moscow kuachana na vita.Dogo Acha ushabiki maandazi!
West wanampukuchua Putin mdogo mdogo mapaka ataisha!
Vita ni akili, Putin aliingia kichwa kichwa ila wenzake wanambonda kwa akili.
Kwanza itafika hatua uchumi wake utasinyaa kabisa na hapo ndipo wanapopataka West.
Vita ni hela sasa hivi Putin anawaza kila shilingi itabidi aitumbukize kwenye vita na hapo ndio mtego kwa Putin ulipo.
Huwezi kuona kwa sasa ila subiri miaka 5 au 6 ijayo uone mziki wake
West wasingejihangaisha kuitumbukiza Ukrain kwenye vita visivyo na maslahi kwao.
Usiwe mburura
Mimi mwenyewe nimeliona Hilo pia wanajaribu kumuwekea mazingira magumu ili chama chake kishindwe ktk uchaguzi ujaoKwa nini ruhusa itoke leo wakati Trump kashinda uchaguzi na Biden anaondoka?
Yani Trump ameshasema wazi kuwa ataimaliza vita hiyo ndani ya 24hrs halafu wao wanataka kumuachia bigger problem ya WW3.
Hapa ni kama anamuundia Trump zengwe la kimataifa ili ashindwe..
Huyu mzee anazeeka vibaya apigiwe kura aondolewe kabla ya January ataleta uharibifu mkubwa
Vita haichagui silaha tuliza wenge yaani unapigana na Mtu Halafu unampangia cha kutumia !? Ulitaka Putin alivamiwa na NATO asitumie nyuklia sasa hizo nyuklia uwepo wake utakuwa na maana ipi !? Yaani nchi Moja ipigane na nchi zaidi ya 25s Halafu asitumie nyukliaNATO wanaisadia Ukraine lkn hawapo Ukraine na Putini kasema NATO wakiingia Ukraine atapiga nuklia,kama NATO wakiingia Ukraine urusi Haina kimbilio zaidi Nuclear Urusi haiwa
Hujielewi Putini mwenyewe anasema NATO wakiingia Ukraine atalipua nuklia,mpaka sasa hajapiga kwa sababu NATO hawajaingia Ukraine
Siku NATO wakiingia Ukraine Putini Hana la kufanya zaidi ya kukimbilia nuklia,Ukiona mtu unapigana naye ngumi anakimbilia panga ujue anajiona hakuwezi kwa ngumi,akili ya kuambiwa changanya na yakwako
Sawa mchafuziDogo Acha ushabiki maandazi!