Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hizbullah sio hamas kweli maana teli avivu huko kushaanza kupendeza kama GhazaMbona Ukrain mwaka wa pili huu na bado wanahenyeka mpaka kuna sehem ya Urusi iko mikononi mwa Ukrain?
Umenikumbusha zile za Hezbollah siyo Hamas
Russia anaua magaidi ya kinazi tu haui raia halaf tupe na sisi tuone hapo walipo sema wataipiga Ukraine weeek tuPutin aache kuua raia,jana nilikuwa naangalia akipiga miundombinu ya kiraia.
Russia alisema atamchakaza Ukraine ndani ya wiki moja tu na hakuna silaha ambayo hajaitumia mpaka kufikia kukodisha Askari kutoka Korea Kaskazini.
Kwahiyo zitapigwa tu Ukraine imethibitisha ubabe wa Mrussi ulikua ni zamani sasa hivi sharubu zake zinashikwa tu nakusokotwa na kupigwa vibao😁
Kwani kutumia nyuklia dhambiUrusi mpaka sasa hajaishinda Ukraine, pamoja na kuwa NATO haijaingia vitani. Kanchi kadogo kamekomaa zaidi ya miaka 2 sasa. NATO ikiingia kwa umoja wake wote na nguvu zake zote, Urusi haimalizi wiki labda watumie nuclear.
Nakuona mzungu wa buzaDogo Acha ushabiki maandazi!
West wanampukuchua Putin mdogo mdogo mapaka ataisha!
Vita ni akili, Putin aliingia kichwa kichwa ila wenzake wanambonda kwa akili.
Kwanza itafika hatua uchumi wake utasinyaa kabisa na hapo ndipo wanapopataka West.
Vita ni hela sasa hivi Putin anawaza kila shilingi itabidi aitumbukize kwenye vita na hapo ndio mtego kwa Putin ulipo.
Huwezi kuona kwa sasa ila subiri miaka 5 au 6 ijayo uone mziki wake
West wasingejihangaisha kuitumbukiza Ukrain kwenye vita visivyo na maslahi kwao.
Usiwe mburura
Kwani unahisi urussi ni waislamu,,, urussi pia ni wakristo na makafili Kama ilivyo Israel kwa taarifa yako mkuuikabiliwe kisawasawa km inavyotakiwa ikabiliwe israeli na magaidi wenzie NATO
Russia pia ni makafili na wakristo Kama sisi,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe?Sasa kwanini nato wasiiguse Russia au Russia tu ndio ana haki ya kuigusa nato
Russia pia ni makafili na wakristo Kama sisi,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe?Kwamba NATO wangekuwa wamesha mmaliza Russia sindio unavyotaka tuamini au !?
Acha ujinga ingekuwa ni rahisi hivyo unavyodhani kinacho wafanya NATO wasiivamie Russia nini mpaka Leo hii , mbona Kwa sadam husen na gadafi waliingia bila kusita umeshajiuliza sababu inayo wafanya wasiingie front kama alivyo fanya Korea kaskazini ni ipi ??
Wanaujua mziki wa Russia , Russia sio Syria mdogo wangu
Russia pia ni makafili na wakristo Kama sisi,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe?Fair gani wakati Urusi inapigana na nchi zote za NATO na bado wamemshindwa?
Ngoja WW3 ianze ndio utajua tofauti ya wanaume wa Russia na mashoga ya west. Urussi moja inaweza kuwashinda wote hao NATO na upuuzi wao
Russia pia ni makafili na wakristo Kama sisi,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe?North Korea wamo ndani ya jimbo la Kursk ambalo limo ndani ya Russia. Huko mbele maeneo yananyakuliwa na wanajeshi wa Russia wenyewe.
Kama haufahamu viongozi wengi ndani ya Russia hawapendezwi na Putin jinsi anavyoiendesha hii anayoiita SMO dhidi ya Ukraine. Wengi wanataka waharibu kila kitu hapo Ukraine kama Israel anavyofanya Gaza.
Wametoa sababu zao kwa Putin kuwa kwa jinsi tunavyoenda na SMO ni ngumu kumaliza hili sakata. Inabidi tupige na tufanye jambo moja la kikatili litakalomfanya Ukraine asalimu mwenyewe amri kuliko wewe Putin unavyoilea.
Kuna kipindi Putin alienda kutembelea kambi moja ya jeshi nchini mwake moja ya maswali ambayo wanajeshi waliyokuwa wanamuuliza ni kipi kinamfanya asiruhusu jeshi la nchi lisitumie zana zote za jeshi walizonazo kama Ukraine na washirika wake wanavyopambana dhidi yao? Putin akatoa majibu anayoyajua mwenyewe ya kuonyesha uungwaana!
Ila yote juu ya yote wachambuzi wa masuala ya kivita wanasema ili Ukraine na west waache kuisumbua Russia pale Ukraine inambidi Russia ifanye maamuzi magumu ya nguvu yake ya kijeshi ili imlazimishe Ukraine asaini makubaliano mwenyewe ya amani. Mpaka sasa Russia katumia 18% za uwezo wake wa kijeshi.
Hatujui Russia atachukua maamuzi gani, wao wenyewe ndiyo wanajua ikiwa Ukraine ikianza kuitumia hiyo ruhusa waliyopatiwa.
Mantiki yako ni nini?Russia pia ni makafili na wakristo Kama sisi,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe?
Nazani umeelewa kuwa Putin hajatumja nuklia sababu NATO bado hawajaingia UkraineVita haichagui silaha tuliza wenge yaani unapigana na Mtu Halafu unampangia cha kutumia !? Ulitaka Putin alivamiwa na NATO asitumie nyuklia sasa hizo nyuklia uwepo wake utakuwa na maana ipi !? Yaani nchi Moja ipigane na nchi zaidi ya 25s Halafu asitumie nyuklia
Uko Sawa kweli upstairs!?
Putin na wakristo na makafili Sana tuu,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe??Vita haichagui silaha tuliza wenge yaani unapigana na Mtu Halafu unampangia cha kutumia !? Ulitaka Putin alivamiwa na NATO asitumie nyuklia sasa hizo nyuklia uwepo wake utakuwa na maana ipi !? Yaani nchi Moja ipigane na nchi zaidi ya 25s Halafu asitumie nyuklia
Uko Sawa kweli upstairs!?
Kwani kuna sehemu nimekwambia Russia sio makafiri nilikua najua kama una uwezo mdogo wa akili ila sikujua kama kwa udogo huuRussia pia ni makafili na wakristo Kama sisi,,,au unadhani ni wafuasi wa mudi Kama wewe?
Una ELIMU GANI mkuu?Kwani kuna sehemu nimekwambia Russia sio makafiri nilikua najua kama una uwezo mdogo wa akili ila sikujua kama kwa udogo huu
Sina elimuUna ELIMU GANI mkuu?
Basi nimegundua shida ni ELIMU yakoSina elimu
Ni kama vile anataka kumuachia msala trump ili apambane nao mpaka mwisho wa utawala wakeBiden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi
Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani.
Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya Urusi kwa mashambulizi machache, maafisa wa Marekani wamesema.
Ukraine inapanga kufanya mashambulizi yake ya kwanza ya masafa marefu katika siku zijazo, duru zilisema, bila kufichua maelezo kutokana na wasiwasi wa kiusalama.
Hatua hiyo ya Marekani inajiri baada ya miezi kadhaa ya ombi la Volodymyr Zelenskyy kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha za Marekani kushambulia maeneo ya kijeshi ya Urusi mbali na mpaka wake.
Mabadiliko hayo yanafuatia Urusi kupeleka wanajeshi wa nchi kavu wa Korea Kaskazini ili kuongeza vikosi vyake, jambo ambalo limezua taharuki mjini Washington na Kyiv.
Mashambulio ya kwanza ya kina huenda yakatekelezwa kwa kutumia roketi za ATACMS, ambazo zina masafa ya hadi maili 190, kulingana na vyanzo.
Kwa Mtazamo wangu nikwamba sasa hii vita inakuja kuwa vita ya ukanda ambayo italeta maafa makubwa sana labda na sema labda kwa rais mpya atakayeingia apige marufuku kuendelea kutumia Siraha za masafa marefu vinginevyo mambo yatakuwa magu sana!
View attachment 3155252
Zile siraha za muungano wa Soviet. Ni sawa na kuwe siraha za nyuklia Zanzibar baadaye ishawishiwe zisafirishwe kuja bara eti kuhofia zinaweza kuangukia mikononi mwa kobaz wenye msimamo mkaliNipe Tofauti ya kimantiki kati ya Tanganyika na Tanzania
Hapa tatizo ni uelewa wako mdogo wa mamboUkraine ilikuwa koloni la Urusi. Sasa mtawaliwa hizo Nyuklia na mabomu yake aliwezaje kuyapata?