Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

Katika kosa kubwa ambalo Biden atalifanya ni kuhusu uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu

Biden ameondoa marufuku kwa Ukraine kutumia makombora ya Marekani kushambulia ndani ya Urusi

Joe Biden ameiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kwa makombora ya masafa marefu ya Marekani.

Rais Biden ameidhinisha Ukraine kutumia silaha za masafa marefu zinazotolewa na Marekani ndani ya Urusi kwa mashambulizi machache, maafisa wa Marekani wamesema.

Ukraine inapanga kufanya mashambulizi yake ya kwanza ya masafa marefu katika siku zijazo, duru zilisema, bila kufichua maelezo kutokana na wasiwasi wa kiusalama.

Hatua hiyo ya Marekani inajiri baada ya miezi kadhaa ya ombi la Volodymyr Zelenskyy kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha za Marekani kushambulia maeneo ya kijeshi ya Urusi mbali na mpaka wake.

Mabadiliko hayo yanafuatia Urusi kupeleka wanajeshi wa nchi kavu wa Korea Kaskazini ili kuongeza vikosi vyake, jambo ambalo limezua taharuki mjini Washington na Kyiv.

Mashambulio ya kwanza ya kina huenda yakatekelezwa kwa kutumia roketi za ATACMS, ambazo zina masafa ya hadi maili 190, kulingana na vyanzo.

Kwa Mtazamo wangu nikwamba sasa hii vita inakuja kuwa vita ya ukanda ambayo italeta maafa makubwa sana labda na sema labda kwa rais mpya atakayeingia apige marufuku kuendelea kutumia Siraha za masafa marefu vinginevyo mambo yatakuwa magu sana!

View attachment 3155252
Kwa hiyo makombora ya masafa marefu watumie warusi tu Ukrain watumie ya masafa mafupi ?!!
 
Kwa nini ruhusa itoke leo wakati Trump kashinda uchaguzi na Biden anaondoka?

Yani Trump ameshasema wazi kuwa ataimaliza vita hiyo ndani ya 24hrs halafu wao wanataka kumuachia bigger problem ya WW3.
Hapa ni kama anamuundia Trump zengwe la kimataifa ili ashindwe..

Huyu mzee anazeeka vibaya apigiwe kura aondolewe kabla ya January ataleta uharibifu mkubwa
 
Nyie mashabiki uchwara wa urusi hamna akili kabisa hivi hamuoni hii vita vya urusi na ukraine havipiganwi fair kabisa kwanini urusi ana haki kushambulia ukraine kwa silaha zote hadi hizo za masafa marefu halafu ukraine yeye anawekewa limit ya kushambulia eti haruhusiwi kupiga ardhi ya urusi mara haruhusiwi kutumia silaha za masafa marefu
Fair gani wakati Urusi inapigana na nchi zote za NATO na bado wamemshindwa?

Ngoja WW3 ianze ndio utajua tofauti ya wanaume wa Russia na mashoga ya west. Urussi moja inaweza kuwashinda wote hao NATO na upuuzi wao
 
Nyie mashabiki uchwara wa urusi hamna akili kabisa hivi hamuoni hii vita vya urusi na ukraine havipiganwi fair kabisa kwanini urusi ana haki kushambulia ukraine kwa silaha zote hadi hizo za masafa marefu halafu ukraine yeye anawekewa limit ya kushambulia eti haruhusiwi kupiga ardhi ya urusi mara haruhusiwi kutumia silaha za masafa marefu
Wewe una akili kweli
 
Wayarushe kutokwa Poland au Romania, Poland na Romania ionje utamu wa Moto, ili dunia izidi kujua kuwa wazungu wa zama hizi hawana akili.

Hii vita imeyatisa mataifa mengi ya Ulaya, hata Democrats wanailaumu kushindwa kwao uchaguzi.

Anayekuambia jirani yako ni mbaya, mchokoze nitakupa silaha na ukakubali, wewe utakuwa 'marehemu' kwenye ubongo wako.
 
Naunga mkono hoja
 
Inaifahamu vizuri NATO wewe,siku NATO akitia timu hapo Rasia Hana Cha kufanya za ya kulipilua nuke,anaifaha vzr NATO ndo maana huto sikia kaigusa ncho yeyote ya NATO
Kama kawaida yako unapenda kuongea ushabiki na mihemko.
Ulaya nzima hadi Marekani hakuna anayeweza kuikabili Russia hakuna.
Kwa taarifa yako kuna askari kibao wamepenyezwa wa NATO ndani ya jeshi la Ukraine ili waisaidie Ukraine lakini still bado wanapigwa.
Hiyo NATO yenyewe imeundwa kukinzana na vitisho vya Russia.
Narudia tena Ulaya hakuna taifa la kusimama na Russia hata hao NATO hawana huo ubavu.
 
Sasa kama anapambana na NATO mbona anaogopa missile kupiga kwake wewe unaakili kuliko serikali ya biden
Silaha ambazo zimepitishwa Ukraine atapatiwa ni guided missile ambazo zinaendeshwa kwa msaada wa GPS.

Kwa kuwa ni silaha za US ina maana US ndiye atakayezi control na kuielekeza wapi pa kupiga.

Ikiwa ni silaha ya UK basi ndiyo itakayo control hiyo missile mpaka ika hit target.

Halikadhalika na nchi nyengine ni vivyo hivyo! Kufanya hivyo ni sawa sawa hizo nchi zimeingia vitani moja kwa moja kwani ni wao ndiyo watakaokuwa wanapiga maeneo ya Russia na siyo Ukraine. Hii ni tofauti na Ukraine kusaidiwa kupewa kifurushi cha silaha na apambane mwenyewe.

Russia alichokisema wawe tayari kwa matokeo yoyote kwa maamuzi yoyote watakayoipa Ukraine green light.
 
Urusi haogopi
Yupo tayari kwalolote
Kinacho Zungumzwa nikuwa Hizo Silaha Zina operetiwa na NATO sio Ukrein Sasa kama wamejitoa Bila kificho Ijulikane Hivyo
Na pia haziwezi rushwa tokea Ukrein kwa kuwa viwanja vyote vya kijeshi vinasomwa vyema na Mrusi.
US atalazimika kutumia viwanja vya Poland au Romania, na kitendo cha kuruhusu eneo lako kutumika kivita, tayari nchi yako ipo vitani.
Hivyo, wazungu wa sasa hawana akili.
Na kuuipiga Urusi moja kwa moja ni baada ya kete ya Kursk kugoma.
 
NATO wanapambana na Rusia wapi?

Kiufupi hii vita ni kama Ukrain kafungwa mikono,
Wanachofanya nato ni kumpa Ukrain silaha kadhaa huku matumizi yake nayo yakiwa ni ya masharti, huku yeye Putin akijipigia tu popote ndani ya Ukrain.

NATO wangeamua kupambana na Putin hiyo vita saa hii ingekuwa ilishaisha
Jidanganye kijana.
Hivi umejiuliza kwanini hao NATO walikua wanamsaidia kwa masharti masharti huyo Ukraine !?
Au wewe una akili kupita hao NATO!?
Au unadhani wenzako hawajapima hasara zitakazowapata kama wakiingia moja kwa moja katika hiyo vita!?
Usisahau Russia ana washirika matata sana Iran,China,North Korea.
 
Huyu Urusi unae msema hapa kila mtu alikua anamwona ni dude kubwa kabla ya vita lakini baada ya gem kuanza had leo kashindwa kukomboa Oblast ya Kursk
We nani kakwambia kashindwa kukomboa!?
Hao askari wa Ukraine hawana pa kwenda,Samy mji wa kutorokea kuingia Ukraine umekuwa blocked,hawana tena msaada utakaoingia.
Na badala yake Russia anamzidi kuchukua maeneo ndani ya Ukraine.
Hapo Kursk wala hana haraka napo maana amesha block misaada isiwafikie hao askari.
 
Kama kawaida yako unapenda kuongea ushabiki na mihemko.
Ulaya nzima hadi Marekani hakuna anayeweza kuikabili Russia hakuna.
Kwa taarifa yako kuna askari kibao wamepenyezwa wa NATO ndani ya jeshi la Ukraine ili waisaidie Ukraine lakini still bado wanapigwa.
Hiyo NATO yenyewe imeundwa kukinzana na vitisho vya Russia.
Narudia tena Ulaya hakuna taifa la kusimama na Russia hata hao NATO hawana huo ubavu.
NATO wanaisadia Ukraine lkn hawapo Ukraine na Putini kasema NATO wakiingia Ukraine atapiga nuklia,kama NATO wakiingia Ukraine urusi Haina kimbilio zaidi Nuclear Urusi haiwa
Kama kawaida yako unapenda kuongea ushabiki na mihemko.
Ulaya nzima hadi Marekani hakuna anayeweza kuikabili Russia hakuna.
Kwa taarifa yako kuna askari kibao wamepenyezwa wa NATO ndani ya jeshi la Ukraine ili waisaidie Ukraine lakini still bado wanapigwa.
Hiyo NATO yenyewe imeundwa kukinzana na vitisho vya Russia.
Narudia tena Ulaya hakuna taifa la kusimama na Russia hata hao NATO hawana huo ubavu.
Hujielewi Putini mwenyewe anasema NATO wakiingia Ukraine atalipua nuklia,mpaka sasa hajapiga kwa sababu NATO hawajaingia Ukraine

Siku NATO wakiingia Ukraine Putini Hana la kufanya zaidi ya kukimbilia nuklia,Ukiona mtu unapigana naye ngumi anakimbilia panga ujue anajiona hakuwezi kwa ngumi,akili ya kuambiwa changanya na yakwako
 
Back
Top Bottom