Katika Kuadhimisha Miaka 100 Nchini Tanzania, TotalEnergies, Yazidi Kufanya Mambo!, Yazindua Shindano la VIA, na Kumwaga Madawati 70, S/M Makuburi!

Katika Kuadhimisha Miaka 100 Nchini Tanzania, TotalEnergies, Yazidi Kufanya Mambo!, Yazindua Shindano la VIA, na Kumwaga Madawati 70, S/M Makuburi!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Salaam.
Katika kuadhimisha miaka 100 ya uwepo wake nchini Tanzania, Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, yazidi kufanya makubwa, yazindua shindano la VIA, kuhamasisha usalama barabarani, yamwaga madawati 70, Shule ya Msingi Makuburi.

Nimebahatika kuhudhuria tukio hilo,
1. Kwanza nikazungumza na baadhi ya wadau
View: https://youtu.be/FPOufJEd4_U

2. Tukio lolote nililivurumisha live stream video kupitia Channel yangu ya youtube.

View: https://www.youtube.com/live/hRm0QKhWS7U?si=XjYm6xkw4C9kmxJ1
Karibu.

Paskali
Nyuzi nyingine za mwandishi kuhusu TotalEnergies.
  1. Total yabadili jina sasa kuitwa TotalEnergies

  2. Jee Kuna Ukweli Kuwa in Tanzania, Mafuta ya Vituo vya ...

  3. Nishati Jadidifu: TotalEnergies yafanya tena kweli ..

  4. Una Eneo Pembeni ya Barabara?, Ungependa Kuwa ...

  5. Kampuni ya Total Yainunua Gapco na Kuwa The Biggest ...

  6. Total yatoa fursa vituo vya COCO na CODO kuzigeuza ...

  7. Maendeleo ya Kweli Yataletwa na Watanzania: Kampuni ...

  8. Kajaze Mafuta Kituo cha TotalEnergies Wiki Hii, Upime ...

  9. Total Tanzania yafanya makubwa, kuigeuza ...

  10. Leo ni Valentine: Jaza mafuta kituo cha Total, upate ...

 
Hivi kuna internatina school au private school yenye jina baya kama hili?
makaburi shule ya msingi 😮

turudi kwenye mada. Total energies wamefanya vyema
 
Tunaishukuru Total kwa kurudisha kwa jamii, japo Ni dharau kutoa walichotoa ukilingnaisha na hela walizovuna katika kipindi cha miaka 100
 
Back
Top Bottom