Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Watu hutumia sana hoja hii katika kuonyesha serikali yetu haijafanya lolote
Ninachojaribu kueleza hapa miaka sitini katika kujenga taifa mara nyingi, umri huu huwa ni umri mdogo sana, nalinganisha na mtoto anayemaliza kutambaa na ameanza kusimama dede, ili baada ya muda achanganye kutembea na kukimbia zake
Amerika ina miaka 252 ya uhuru wake, lakini mpaka muda huu au nyakati hizi bado ina mapungufu lukuki kwa raia wake
Itaendelea...