Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Ni kweli,kabisa wapo tuliokuwa nao wakakimbia kwa haraka kutokana na sera zao ilikuwa unachagua wewe ni mkomunisti au ni capitalist/ kama kenya wao walichagua capitalist lakini hawako mbali sana kama Singapore!Sio kigezo, 1961 Tanganyika ilikuwa sawa na South Korea na Singapore
Lakini leo angalia hizo nchi mbili ziko wapi? Korea wanawapa hadi misaada
Huwezi kusema stage ya maendeleo iko hivyo wakati kuna wengine wame-move faster. Au nyie mna utapiamlo?
kwa haraka kutokana na sera zao
uko sahihi 100%,Watu hutumia sana hoja hii katika kuonyesha serikali yetu haijafanya lolote
Ninachojaribu kueleza hapa miaka sitini katika kujenga taifa mara nyingi, umri huu huwa ni umri mdogo sana, nalinganisha na mtoto anayemaliza kutambaa na ameanza kusimama dede, ili baada ya muda achanganye kutembea na kukimbia zake
Amerika ina miaka 252 ya uhuru wake, lakini mpaka muda huu au nyakati hizi bado ina mapungufu lukuki kwa raia wake
Itaendelea...
CPC ya China ina umri almost sawa na Tanganyika. Mfikie basi hata nusu ya China tuwapongeze. Na hapo bado hatujaweka mfano wa:Watu hutumia sana hoja hii katika kuonyesha serikali yetu haijafanya lolote