Katika kuongeza ajira

paramawe

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
151
Reaction score
24
Wakuu nlichokiona ktk jiji la Dar-es-salaam na tatizo la ajira, ivi serekali, mabenki na taasisi kubwa za fedha zimeshindwa kabisa kujenga masoko km Buguruni, Tandika Stand, na Tegeta kuwa ya kisasa na kupunguza tatzo hili la ajira? Maeneo ya Masoko ndio kunako zalisha ajira nyingi kwetu vijana. Ivi ni tatzo lililopo kwa Serekali na washauri wa masuala ya Uchumi ktk Mabenki na Taasisi kubwa za fedha? Naomba tujadili wakuu!
 
Mkuu mimi naamini tukiitegemea serikali itufanyie kwenye kila kitu tunajichimbia makaburi wenyewe,ni wakati sasa wa sisi wenyewe kuona tujipangaje kupata soko zuri la kuuza bidhaa zetu ndipo tuifuate serikali na plan ambayo inaweza kutekelezeka ili watujengee nadhani kuna miradi mingi wilayani ila tukienda kwa kudhamiria na kuwaomba phase1 yajenge labda miundombinu ya maji taka na........., tutakuwa na hoja ya kuilazimisha serikali ifanye kumbuka serikali ni watu na watu ni sisi wenyewe wauzaji kwenye masoko ambayo yahana mvuto,
 

Kama ni hivyo kwanini sasa ikusanye kodi zetu
 

Masoko ya kisasa yapoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…