paramawe
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 151
- 24
Wakuu nlichokiona ktk jiji la Dar-es-salaam na tatizo la ajira, ivi serekali, mabenki na taasisi kubwa za fedha zimeshindwa kabisa kujenga masoko km Buguruni, Tandika Stand, na Tegeta kuwa ya kisasa na kupunguza tatzo hili la ajira? Maeneo ya Masoko ndio kunako zalisha ajira nyingi kwetu vijana. Ivi ni tatzo lililopo kwa Serekali na washauri wa masuala ya Uchumi ktk Mabenki na Taasisi kubwa za fedha? Naomba tujadili wakuu!