peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Unajua kwamba waTanganyika ni wajinga mno.Tupo kwenye ndoa ambayo haina mlingano. Unampa tu lakini yeye hakupi.
1.Wana haki ya kugombea nafasi ya kugombea nafasi yeyote ilimradi aungwe mkono. Nenda Zanzibar uone kama utachaguliwa hata ujumbe Wa nyumba kumi.
2. Wanaajiriwa popote Tanzania. Ukienda kwao ajira SMZ ni kwa ajili yao tu.
3.Wanaruhusiwa kununua ardhi huku ila kule kwao ardhi ni yao tu
4.Wanagawiwa wasichochangia.
4.Wanaweza kutoa raisi Wa Watanganyika ila sisi hatuwezi. Ninaupenda muungano ila wore tupoteze sio upande mmoja tu ndo upoteze. Tanganyika hatuna identity lakini wao wanayo.
Hii ni hatari kwaistawi wa taifa. Miaka mia moja ijayo wajukuu wetu watatulaumu sana.
Kwa nini tuungane nusu?