Katika mahojiano ya masaa 4 clounds FM/TV Mbowe hajakemea CCM popote au viongozi wake au Utawala wake hiyo inatupa taswira gani?

Agenda Ilikua yeye siyo ccm
 
kwenye hayo mahojiano kaimba sana maridhiano, kasema yalianza tangu enzi za magufuli kule mwanza kwenye sherehe za uhuru
 
Hakuna mtu humo
 
Tatizo sio Mbowe bali hao waandishi ndo tatizo. Akili ya Mbowe kwa Sasa ipo ndani ya chama na si nje. Hawez kuaza kuishambilia CCM kwa Sasa wakati adui yake mkubwa yupo ndani ya chama. Ilitakiwa waandishi ndo waulize maswali ambayo yangeweza kuongelea CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…