Katika mahojiano ya masaa 4 clounds FM/TV Mbowe hajakemea CCM popote au viongozi wake au Utawala wake hiyo inatupa taswira gani?

Katika mahojiano ya masaa 4 clounds FM/TV Mbowe hajakemea CCM popote au viongozi wake au Utawala wake hiyo inatupa taswira gani?

Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
Agenda Ilikua yeye siyo ccm
 
Ni kweli Mbowe amewekeza sanaa kwenye maridhiano na chama tawala sio siasa za ushindani tena, ccm haiwezi kukupa utawala on slaverplate Ccm is too cunning kuschia madaraka kwa maridhiano. Mbowe anajindaganya kabisa apishe watu wengine wenye ushawishi wa ongoze chama.
kwenye hayo mahojiano kaimba sana maridhiano, kasema yalianza tangu enzi za magufuli kule mwanza kwenye sherehe za uhuru
 
Pamoja na kumfunga miazi 9 kuteswa kwenye siasa za ndani kuengua viogozi wa chadema katika serikali za mitaa kufungwa wa fuasi wa chama chake ila amekua na kind words nao na siraha zake zikaelekea wapizani wake wa ndani.

Rushwa ya Abdul, anaomba mwenye ushahidi aupeleke kwenye kamati ya chama jambo ambalo ni gumu rushwa inatolewa kisirisiri, hapo nimeelewa mbowe anagombea kwa masirahi ya nani?
Hakuna mtu humo
 
Tatizo sio Mbowe bali hao waandishi ndo tatizo. Akili ya Mbowe kwa Sasa ipo ndani ya chama na si nje. Hawez kuaza kuishambilia CCM kwa Sasa wakati adui yake mkubwa yupo ndani ya chama. Ilitakiwa waandishi ndo waulize maswali ambayo yangeweza kuongelea CCM.
 
Back
Top Bottom