Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kabisa mkuu.tumebaki watazamajiSisi ni zilipendwa kwa sasaπ€£π€£π€£
ππ¦π¦π¦Haya kaa vizuri basi π½π
πππ tulia weweYaani Jf ikatokea umeifumania I'd ya bby wako na anavyo comment humu unaweza jinyonga wallah ππππ
Dah.!! Min me umemuonea hata kunitania hajawahi.!!Sisi tunajuaπ€£π€£ japo mlifanya kwa usiri mkubwa
Dume kwa dume, hahaImagine Bichwa kawekwa na Cocastic ππ
Naskia unarandana na watu mitandaoni, shauri yako.Wewe yule wa siku ile tuliyekuwa tunachambana naye mpk wakatupa ban kwenye ule uzi πππ
We kibuyu nafikiria pa kukuweka ππDume kwa dume, haha
Mimi na vibuyu wapi na wapi mdogo angu??Naskia unarandana na watu mitandaoni, shauri yako.
Nitacheka nizimie, hahaWe kibuyu nafikiria pa kukuweka ππ
Nilianza kushangaa, Dada na kurandana mbona ni hasi na chanya ππππMimi na vibuyu wapi na wapi mdogo angu??
Kwa akili za dada yako kuna anayeniweza basi ππππ
Kile kipaka (kipusi) kinachocheka umekipeleka wapi?Mimi na vibuyu wapi na wapi mdogo angu??
Kwa akili za dada yako kuna anayeniweza basi ππππ
Nataka nikupe binti mmoja mpole km wewe Hope urassa mnaendanaNitacheka nizimie, haha
Si ndio hapo πππNilianza kushangaa, Dada na kurandana mbona ni hasi na chanya ππππ
Umekikalia kiangalie vizuri πΉπΉπΉKile kipaka (kipusi) kinachocheka umekipeleka wapi?
Naona umeanza kazi nyingine ya ukuwadi unagawa connection au sio Ile umeipumzisha kidogoNataka nikupe binti mmoja mpole km wewe Hope urassa mnaendana
Subiri zamu yako itafika ntakutafutia na wewe mume πΉπΉπΉNaona umeanza kazi nyingine ya ukuwadi unagawa connection au sio Ile umeipumzisha kidogo
Kumbe umekikalia kipusi kinachocheka sasa itakuaje?Umekikalia kiangalie vizuri πΉπΉπΉ