min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kivip mkuu😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip mkuu😁😁
Taja tu
We toka hapa bana, Joanah Ni mwanamke mzuri SanaYaani uendane na lijamaa... Naanza kupata wasiwasi ha hili jamvi
mnakulana kimasiharaKivip mkuu😁😁
Mshamba alifanyaje kwani, mbona alikuwa mtu poa tu
Jipigie kaka, acha kujaji. Wewe sio Joseph WaryobaKivip mkuu😁😁
😁😁😁 ngoja aje shauri yako.mnakulana kimasihara
Yupo humu kwa id nyingine
Imagine Bichwa kawekwa na Cocastic 😁😁🤣🤣🤣 Ni mwendo wa kulipuana tu kama Taliban
Hii ni vayolensi mkuu😁😁Jipigie kaka, acha kujaji. Wewe sio Joseph Waryoba
Basi sawa, kesho napanda pipa kuja huko Tz kukutafuta.Tunaendana sana Raymanu KE 🤗
Hamna mkuu, wadau wanakupa mashavu halafu unaya-escapeHii ni vayolensi mkuu😁😁
Hatuendani! Si unaona hata mleta mada hajanimention na wewe🥲Umenikana kibonge😭😭
naona couple ya ngoja waje kukupa muongozo imekua nambari mojaSalaaam
Ngoja⁵ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida.
smart na mahondow
Pdidy na unique flower🤣
Heriel na donatila
Chaliiifrancisco na ephen
Mshana na faiza 😅
Mrangi na niffer
Bichwa na cocaaa🤣
Mshamba achekwi & Depal
raraa reee na Numbisa
Deep pond na Kapeace
List ni ndefu nakuja kumalizia.....au nyie endeleeni....