Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Huu ujumbe ni wa min -me


Kuna mdada nlikuwa close kwenye masuala flan ya kikazi karibia miezi mitatu lkn hatukupeana no za simu, siku tumepeana no jioni akantumia "usiku mwema" mi nikajibu "πŸ™πŸ™πŸ™"
ephen_ kila siku ananisahisha 😁😁
 
Mtu akireply emoj najiongeza kua hataki kuongea na mimi
Kwahiyo ulivyotumiwa Salamu ukareply πŸ™ ulihisi huyo dada anakutaka au
😁😁😁 yan mimi nisitake kuongea na wewe kabisa πŸ™„ nitakua nakaribia kufa labda.
 
😁😁😁 yan mimi nisitake kuongea na wewe kabisa πŸ™„ nitakua nakaribia kufa labda.
Uongo huko😣
Ndio maana ukireply viemoj hua nakunyamazia, we ujashtukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…