raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Huyu mtoto Numbisa nitajitahidi nipite nae kimasikhara tuu kiongozi 😄Nimetisha nimetisha zama kwa mtoto jiopoleee.....siku ya kulifinya nije 🏃🏃🏃🏃🏃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtoto Numbisa nitajitahidi nipite nae kimasikhara tuu kiongozi 😄Nimetisha nimetisha zama kwa mtoto jiopoleee.....siku ya kulifinya nije 🏃🏃🏃🏃🏃
Kuna ule uzi wa kutembeza likes wewe na yeye mnashinda sana kule saa nyingine mnabaki nyie wawili tu mkuuNimekubali mzee baba hapo kwa mtoto Numbisa 😊
Genta na huyo patna wake ntachangia mchango wakiomba😁😁Asante kwa nyongeza
N akina nan hao niwatembezee mkongaJf mashangingi emu nipumzisheni pamoja na kuwa na id mpya bado mashangingi mbanifatilia 😹😹😹
Nimechoka kugombana yani mnapishana, likitoka shangingi hili linaingia hili full tafrani 😂😂😂
Hivi hamna watu wengine wa kugombana nao?? 😹😹😹
Vijana watulie hapa wajifunze watu wazima huwa tunafanyaje.Naona jirani unalinda kwa nguvu zote 😹😹😹
Hutaki kupeperushiwa ndege wako
😹😹😹N akina nan hao niwatembezee mkonga
Tatizo ushangingi umewajaa hawawezi kukuelewa 😹😹😹Vijana watulie hapa wajifunze watu wazima huwa tunafanyaje.
Una manjonjo weweHawarandani kwa chochote, huyo mrangi aliiga tu signature ya Mdakuzi Ova.
Haha, dada nimekumiss jamani. Umenisusa kweli siku hizi.Mashangazi kama sisi huwezi kuta tunarandishwa mdogo wangu....😃😃😃
Wala hata, nimeweka tu mambo sawa.Una manjonjo wewe
Au ndo uchizi wa mapenzi?
Ndiyo 🤣 ukinifikia tutaenda sawiaNikue mara ngapi?
Au kisa unanizidi base?
Salaaam
Ngoja⁵ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida.
smart na mahondow
Pdidy na unique flower🤣
Heriel na donatila
Chaliiifrancisco na ephen
Mshana na faiza 😅
Mrangi na niffer
Bichwa na cocaaa🤣
Mshamba achekwi & Depal
raraa reee na Numbisa
Deep pond na Kapeace
List ni ndefu nakuja kumalizia.....au nyie endeleeni....
HahahahahaSasa hiyo tutajua mbele kwa mbele
Visingizio tuNdiyo 🤣 ukinifikia tutaenda sawia
Nimecheka sana raraa reree na NumbisaSalaaam
Ngoja⁵ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida.
smart na mahondow
Pdidy na unique flower🤣
Heriel na donatila
Chaliiifrancisco na ephen
Mshana na faiza 😅
Mrangi na niffer
Bichwa na cocaaa🤣
Mshamba achekwi & Depal
raraa reee na Numbisa
Deep pond na Kapeace
List ni ndefu nakuja kumalizia.....au nyie endeleeni....