Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Sijaona wa kumtaka humuAu wamtaka nani??? Sema mwenyewe 😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona wa kumtaka humuAu wamtaka nani??? Sema mwenyewe 😅😅😅
Hata jinsia yake haijulikani kuna siku anakuwa wa kike kuna siku anakuwa wakiume ni vurugu 😀Boss huyu sexless ni jini au mtu 🤣🤣🤣
Ushafeli mwanzoni tu, nina tumafumbo tukali utachizi bureWe ukinipea ntawezana tatizo napenda umbea, utawezana na mwanaume mdaku.🤣🤣
Kalale ukue, 😅😅Kwa hiyo nikojoe nikalale 😅😅
Unasubiri nini sasa, njoo fastaaaHata mimi nimewaza wanavo match hata kwenye miandiko wale ni sare sare, ngoja mimi nijiopolee kwako 🤣🤣🤣
Leo umeandika Points tupu MpinzaniHiyo ndio maana ya binadamu , hatuwezi kuwa na misimamo sawa ..Kugombana kwa hoja na kubiashana ni iashara tosha ya kila binadamu kusimamia misimamo yake.
Hakuna mtu bora dhidi ya mwenzie wala hakuna jamii bora dhidi ya nyingine.
Hao ni Paka na Panya.
Uko wapi.....Aise mtu hasiuguse mshangazi wangu Evelyn Salt .
Tutakosana.
Niko gheto,Uko wapi.....
Kaka angu unaendeleaje