Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
Sisi wote tunajua huyo ndio mpenzi wako, habari za chawa hatuzijui 😹😹😹Hivi kweli unalazimisha chawa ndo awe mchumba angu 😆😆😆
Hapana siwez lazimishwa kuolewa
Nampenziiiii wanguuu honeyyyyy😂😂
Kwani mwanzo hukujua km chawa?
