Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

Salaaam
Ngoja⁵ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida.

smart na mahondow
Pdidy na unique flower🤣
Heriel na donatila
Chaliiifrancisco na ephen
Mshana na faiza šŸ˜…
Mrangi na niffer
Bichwa na cocaaa🤣
Mshamba achekwi & Depal
raraa reee na Numbisa
Deep pond na Kapeace

Lucas mwashambwa & Jane Lowassa🤣

Half america na leejay
Shimba buyenze & Bantu lady
Controla & Rubby
Mad max &Cute wife.
Extrovert & dada hornet.

List ni ndefu nakuja kumalizia.....au nyie endeleeni....
Lucas Mwashambwa na Jane Lowassa wapi na wapi?
Lucas mkulima wa vitunguu wakati Jane mtoto wa ushuani.
 
Back
Top Bottom