Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
kama ni mmoja ndiye anayefaidika zaidi basi yameshakufa kilichobaki ni kusukuma gurudumu bora liende siku zisogee.inatakiwa iwe wote kwa pamoja
ila kwa hali ya mahusiano ya sasa anayetakiwa kufanya hivyo ni yule anaefaidika zaidi na hayo mahusiano
na ndo maaana huyo anaefaidika zaidi anatakiwa kupambana ili penzi lisife aendelee kufaidikakama ni mmoja ndiye anayefaidika zaidi basi yameshakufa kilichubaki ni kusukuma gurudumu bora liendele siku zisogee.
mkichokana peaneni break ili kila mmoja aone umuhimu wa hilo husiano, utauliza kwenye ndoa hiyo break itakuaje? Hata mimi sijui.Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu.
Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale yanapopungua, au kuchokana?
Hata vitabu vya kale vilinena... Mkuu wa kaya hata akimosea hatakiwi kuomba msamaha..Mwanamke anaweza kurudisha mapenzi.
Wanaume moyo wao ni mwepesi sana kujirudi ila hawezi kuanza kuomba samahani.
Na nyie mkiombwa samahani siyo mvimbe tena
Kuna watu ni wagumu jamani.. hata ulie machozi ya damu hawasamehiNa nyie mkiombwa samahani siyo mvimbe tena
wanajifanya hawajui kusameheMwanamke anaweza kurudisha mapenzi.
Wanaume moyo wao ni mwepesi sana kujirudi ila hawezi kuanza kuomba samahani.
Na nyie mkiombwa samahani siyo mvimbe tena
Ndio formula hiyo,hakuna kukubali msamaha kirahisi rahisi eti kisa chozi,chozi hata mbwa analo.Kuna watu ni wagumu jamani.. hata ulie machozi ya damu hawasamehi
🤣🤣🙄inatakiwa iwe wote kwa pamoja
ila kwa hali ya mahusiano ya sasa anayetakiwa kufanya hivyo ni yule anaefaidika zaidi na hayo mahusiano
Mm imenishinda tunaishi tu kama wageni tumekutana tu Kwa mara ya kwanza ila tukiwa na wageni tunapritend sana nishachoka tuna zaidi ya miezi 8.Mwanamke anaweza kurudisha mapenzi.
Wanaume moyo wao ni mwepesi sana kujirudi ila hawezi kuanza kuomba samahani.
Na nyie mkiombwa samahani siyo mvimbe tena
Kumbe tuko wengi mm nimemwambia atafute tu mwanaume mwingine maana ameshanichoka..Hii imenikuta mara kadhaa tukajitahid kurepair but by this time nimechukua break kwanza, Umuhim wangu ukionekana ntarud mchezoni na kama sivyo basi na atafutwe mwali mpya haraka iwezekanavyo nimewapa kazi wajomba, Life is too short kusukuma gali kwenye jum.